Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,029
- 59,684
ubishi ni hulka ya mtu .hata hapa jf wapo watu wa aina hiyo..
wataje..
wataje..
anaweza kubisha yeye sio mbishi sasa hapo =mbishi1. Nyani Ngabu,
2. Yo Yo
3. Mohamed Shossi.
hahaa ....1. Nyani Ngabu,
2. Yo Yo
3. Mohamed Shossi.
4. Faiza Foxy
Poa we nionee tu...ndo maana mtaani watu wanasema we ni babu usie maana!!1. Lizzy
1. Lizzy
Aika kaka...heehhhe...babu anataka nikose mchumba tu!Jamaniiiiiiiiiiiiiii..Lizzy ata aki-argue ni with reasons babu! Si mbishi tu...
ubishi ni hulka ya mtu .hata hapa jf wapo watu wa aina hiyo..
wataje..
Si umeona ulivyo mbishi? Hata hili nalo umelibishia......mwone kwanza.Poa we nionee tu...ndo maana mtaani watu wanasema we ni babu usie maana!!
2. MentorJamaniiiiiiiiiiiiiii..Lizzy ata aki-argue ni with reasons babu! Si mbishi tu...
Orait orait...nakubali mimi ni mbishi kitu ambacho kitanitoa kwenye kundi la wabishi sababu mimi sibishi!Si umeona ulivyo mbishi? Hata hili nalo umelibishia......mwone kwanza.
umeamini leo?Orait orait...nakubali mimi ni mbishi kitu ambacho kitanitoa kwenye kundi la wabishi sababu mimi sibishi!
Nimeamini nini tena jamani...?!umeamini leo?