We mbona macho mekundu.....

We mbona macho mekundu.....

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Kuna jamaa mmoja alikwenda ofisini J3 macho yake yakiwa mekunduuu!

Bosi akamuuliza, "wewe kulikoni??" Jamaa kajibu.."Jpili nlipokuwa kanisani mbele yangu alikaa mmama mmoja mneneeee, sasa tuliposimama wakati wa kuimba nyimbo za sifa, nligundua gauni lake limenasa kwy makalio ( MFEREJINI), sasa nlipoamua kumsaidia nilichomoe, akanitwanga ngumi jicho la kulia"

Bosi akauliza mbona sasa na la kushoto ni jekundu? Jamaa akajibu.."sasa nlipoona hakupenda mm kulichomoa ktkt ya makalio, nkaamua kulirudishia ndani MFEREJINI kama lilivyokuwa"
 
Tumia akili ndugu yangu, hiyo avatar inawafanya watu wengine tusisimkwe mwili. Sijui inakupendezaje
 
Tumia akili ndugu yangu, hiyo avatar inawafanya watu wengine tusisimkwe mwili. Sijui inakupendezaje
sidhani katika dunia hii kama kuna mtu asiye na akili,labda wewe unayesema nitumie akili.....mtu mzima unasisimkasisimka hovyo
 
Jamaa hakwenda kanisani kusali kabisa inakuwaje badala ya kusali yeye anashobokea kuchomoa nguo kwenye mifereji ya wakinamama? Alistahili kupewa nakozi kabisa.
 
Du unachomoa kwenye mfereji..nikikuona unamfanyia demu wangu nakunyonya makamasi..
 
Avatara yako inanisononesha kila nikiiangalia,
Km hutojali ibadilishe bwana inaonyesha ukatili kwa watoto.
 
Back
Top Bottom