Oya! Oya!

Oya! Oya!

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Oya kuna watoto wa uswahilini walikuwa wakiongea, maongeza yao yalikuwa hivi.

Wa1:Baba yangu aisee ni mwoga!
Wa2:Kivipi?
Wa1:Jana kaingia chooni kumuona mende akapiga kelele mpaka mama akaja kumsaidia.
Wa2:Mbona hiyo cha mtoto, baba yangu ni mwoga yaani mama akisafiri analala na mfanyakazi wa ndani (housegirl).
 
tehetehe,huyo wa pili angejua baba yake anavyofaidi,asingemsemea!tehetehe
 
Duh! huyo wa pili inabidi akamsimulie mama yake tabia ya uoga ya huyo baba yake halafu ashuhudie kimbembe cha hapo.
 
ackuambie m2 beki tara watamu kama nyama ya mdudu
 
Huyo wa pili ni noma teh teh teh
 
Back
Top Bottom