Funny video clips + Photos

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,076
7,855
Kuanzia sasa nitakuwa nawawekea clips za kuvunja mbavu. Hizi ukiangalia ni hakika utacheka hadi unenepe na kusahau kero za siku.

Naanza na hii: Iangalie, haitakaa sana hewani nitakuwa naweka moja kila baada ya siku 3. Nakushauri kama unapenda download it. Ni safe (I assure)

Siku njema

na picha

IGA.jpg
 

Attachments

 • grandmascores.zip
  527.1 KB · Views: 14,390
Kwa wapenzi wa michezo nawapendelea hii moja... Haha, usiombe wewe uwe mwanamichezo na ukumbwe na fedheha hii!

Regards, kesho basi
 

Attachments

 • Jackass Gymnist.zip
  609.9 KB · Views: 8,955
LoL, fine! Basi nami natoa moja ya ki-soka ili iwe burudani ya kipekee. Angalia utaalam wa wachina
 
Naam, nimerejea ulingoni. Nakuongezeeni dose kama kawaida... Hebu ujue kwanini ngumu kuwaamini wanawake! Click below and download this Zipped folder with a video in it!

Wow, hahaha
 

Attachments

 • NeverTrustWoman.zip
  880.4 KB · Views: 841
Kuanzia sasa nitakuwa nawawekea clips za kuvunja mbavu. Hizi ukiangalia ni hakika utacheka hadi unenepe na kusahau kero za siku.....Siku njema

Binafsi sidhani kama hapa kuna la`kuchekesha mbali ya ukatili wa aina yake wa kichanga hicho........najua inatia nuru machoni, lakini inabidi sisi wenyewe humu ndani tuwe makini tusivuke mipaka ya uchekeshaji na ukatili. Mimi binafsi nadhani hapa hii clip imeelekea zaidi kwenye ukatili zaidi ya uchekeshaji.
 
Ingawa nami mwanaume lakini uvumilivu hapa ungenishinda... See why!
 

Attachments

 • Test_coquille.zip
  496.6 KB · Views: 663
Mh, wacha niweke walau wadada mahiri wa ku-park magari. Hapo ndo utajua kuna wakali wa ku-park.

Hata Bongo wapo wenye ubavu wa aina hii? Wamama mnasemaje mnaweza?

Mashallah!
 

Attachments

 • parking made easier.zip
  970 KB · Views: 586
Naiweka hapa... Hapafai? Hapana naweka mimi! Unajua ni nini? Una mbavu? Cheka unenepe... Kama nimekosea Admin 'Bwaga inakotakiwa' ruksa!
 
Oh Yeah!

I forgot where this post is! Haha... Fine fine naendeleza huku kuweka madudezz...

After 5min nabwaga kitu...
 
Sorry I had to merge these posts. Hope no prob!

Thanks for your understanding
 
Kwa wenye wake najua hii inaweza kukusababishia ku-Ditopile mtu ghafla.

Angalia chini (download)
 

Attachments

 • MaiWaifu.zip
  507.5 KB · Views: 369
Ukiwa na haraka sana raha yake ndo hii. Unawahi hata kusiko!

Haya jama...
 

Attachments

 • Ajali-Ajali!.zip
  580 KB · Views: 310

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom