Wakubwa kumekuwa na vifupisho vingi sana venye maana tofauti sana na iliyokusudiwa hebu tuviangalie baadhi yake;-
PCM-people calculate llke machine
PCB-People confuse brain
HKL-Hakuna kusoma...
Why is it that Tom
never really eats Jerry...????aaah mi nimechoka kuona wakikimbizana kila siku!!!!NI LINI ATAMLA KILA SIKU NIMEKUA NIKISUBILI NA SASA NDEVU ZANIOTA LAKINI BADO TUUUU!!!!
Wakubwa wakati tunaelekea kufunga mwaka na kuanza mwaka mpya nisingependa kuona tabia hizi tunaingia nazo mwaka mpya,
kumnunulia demu chips kuku halafu we unaenda kula mihogo
kumnunulia demu bia...
Ni maamuzi magumu lakini naomba niyafanye. Nimekuwa nikiandamwa sana na baadhi ya member wa hapa JF kuwa mimi ninachafua post nyingi humu ndani hasa jukwaa la jokes, watu wanaoniandama wengi...
Ni siku nyingi sijakuwepo ktk safu hii, hivyo sijuwi hii kama ilishawekwa au laa.
Mwalimu kauliza darasani: "kwanini tunasema mapenzi ni bora kuliko vita?"
Mwanafunzi mmoja akanyanyuka na...
Your mobile phone beeps, you have received a text message.
It begins: "I swear, I will make sure I give you HIV..."
But it's not an abusive threat, it's a "romantic" text message copied from...
(1)Ni ujinga kubembeleza simu wakati ikilia.>>(2)Ni ujinga nurse kumuamsha mgonjwa halafu anamwambia aamke ameze dawa ya kumpa usingizi.>>>(3)Ni ujinga kupaka easy black kichwani wakati una...
Ndiyo manake! Kwani nani kasema mtu kujipenda mwenyewe ni dhambi? Ni upuuzi sana kuona mwanamke anaanzisha thread za kumpenda FF kila siku bila hata sababu za msingi na kutuacha wanaume...
I love him for real
Even to die for him i will.
My heart beats only for him
When i sleep at night he's the only one i dream
He gives me courage
He takes away my rage
With his love its like...
Mambo zenu wakuu,leo katika pita pita zangu nimeokota R2800/= ila kwasababu ndio nayaanza maisha naomba ushauri wenu nahitaji vitu viwili hivi kati ya Tv na DVD,je mnanishauri nianze kununua nini...
asiye na mwana na aelekee jiwe........................haya ndiyo majambos ninayojiandalia kwa hii X-MAS....................nyote mnakaribishwa...............................
I have just roasted...
bunge hili ndo linalotaka kufanya enaktiment ya katiba,katika part III,basic rights and duties si wameongeza article et mtu yeyote ana haki ya kunenepa au kukonda.......je na we unapendekeza nin...
dada mmoja alimwambia jirani yake leo siku ya tatu jicho langu linacheza maana yake hivi huwa ni nini?
jirani akamjibu hata mimi sijui ila siku yakicheza makalio yako niambie
magreduu wetu wote wa Uhasibu kurasini, nawapongeza na kuwatakia sherehe njema hapo uwanja mpya wa taifa. Mje huku kitaa msaidie kulisongesha gurudumu la maendeleo.halafu musiwe wala rushwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.