Members kila mmoja ajipime kwa mwaka huu tu wa 2011 tangu January mpaka utakapoisha 31/Dec, utakuwa umetumia kiasi gani cha Fedha kuchangia harusi, send off, birthday party, kipaimara....n.k n.k...
"Behold, the virgin shall be with child, and bear a Son, and they shall call His name Immanuel" which is translated, "God with us."
. (matthew:1;23). praise the lord..
I love you & blessed. Mia
Mchaga mmoja alikuwa akifanya biashara ya kuuza vacuum dry cleaners.Siku moja mchaga akiwa na vacuum dry cleaner zake alipiga hodi nyumbani kwa baunsa mmoja.Alipofunguliwa mlango,akatoa salamu...
..leo imebidi nikucheki kwa njia ya Zee manake nimekuwa nikitafuta kweli njia ya kugumiana na wewe lakini watu wananibania, nikaona sio mbaya katika miaka hii Fifte ya Independensi, nikuandikie...
Alilkuwa akihojiwa na mlimani tv katika kijambo cha wiki juu ya miaka 50 ya uhuru.
Bonyeza chini kusikiliza:
https://www.jamiiforums.com/audio/bibi-rap.mp3
Au download -...
Jamaa alikuwa na girlfriends watatu,akaanza kuwaza amwoe yupi kati ya hao.
akawapa kila mmoja milion 5 ili aone kila mtu ataitumiaje.
Girlfriend wa kwanza akaenda supermarket akanunua...
The telephone bill was exceptionally high and the man of the house called a family meeting;
Dad: People, this is unacceptable.You have to limit the use of the phone.I do not use this phone i use...
Masai aliibiwa simu kwenye daladala, akaanza kutoa onyo kwa abiria:-
MASAI: Jamani alieiba simu yangu arudishe haraka kabla sijafanya kitu kama nilichofanya nilipoibiwa simu yakwanza...
Bwana mmoja na mkewe waliishi miaka mingi bila kupata mtoto. Walifanya kila waliloweza, hospitalini, waganga, washauri, lakini bila mafanikio. Hatimaye baada ya kushauriwa na mtu wao wa karibu...
Kwa kuzingatia uhalisia kuwa harusi nyingi za siku hizi zinagharimu mamilion ya pesa kwa starehe ya siku 1 au 2 tu,
na kwakuwa serikali haina fedha na hvyo kuna haja ya kubuni vyanzo vipya vya...
Mtoto anamuomba baba yake,naomba hiyo glass hapo juu,baba akajibu sitaki njoo mwenyewe
mtoto;si unichukulie mara moja tu,baba akajibu ntakuja kukuchapa emb njoo mwenyewe,mtoto akajibu basi ukija...
Kulitolewa tangazo: mtu akiwa na watoto 10, anapata zawadi ya gari na nyumba, jamaa mmoja akamwambia mkewe sisi tuna watoto wa wanane (8), nisamehe ninao wengine wawili (2) nje ya ndoa naenda...
Padri mmoja alikuwa amechoka kusalisha, sasa alichokifanya akachukua redio halaf akajirekod hvyo ukifika mda wa sala anasimama halaf anafungulia radio, cku 1 akaisahau ile kanda nyumbani akamtuma...
A rasta man walks into a bank and hands the cashier a bag full of weed. The cashier angrily asks 'Sir, what is this?' The rasta replies, 'Why yoh guan ask foolish queshuns man? Mi com fi open a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.