Follow Me If You Can!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,418
2,000
(1)Ni ujinga kubembeleza simu wakati ikilia.>>(2)Ni ujinga nurse kumuamsha mgonjwa halafu anamwambia aamke ameze dawa ya kumpa usingizi.>>>(3)Ni ujinga kupaka easy black kichwani wakati una kipara.>>>(3)Ni ujinga kupeleka nguo D.T DOBIE ukifikiria ati huko ni laundry.>>>(4)Ni ujinga kuinua miguu juu wakati upo ndani ya gari linalopita kwenye dimbwi la maji machafu>>>.(5)Ni ujinga kusema nothing is impossible while you do nothing everyday.>>>(6)Ni ujinga kusema;To answer this call,PRESS ANY KEY!Can you show that ANY KEY on your phone keypads?Endeleaaaa.

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,343
2,000
Ujinga ni kumchokoza Ussain Bolt alafu unakimbia!

Ujinga ni kumtumia mtu success card, halafu nje ina picha ya Arsenal!

Ujinga ni kufikiria Juma Nature ni mtoto wa Mother Nature!

Ujinga ni kumsalimia supporter wa arsenal, "umeshindaje"..hahahahaha

• Thanks
Reactions: Nzi

daughter

JF-Expert Member
Jun 22, 2009
1,277
2,000
Ujinga ni kumchokoza Ussain Bolt alafu unakimbia!

Ujinga ni kumtumia mtu success card, halafu nje ina picha ya Arsenal!

Ujinga ni kufikiria Juma Nature ni mtoto wa Mother Nature!

Ujinga ni kumsalimia supporter wa arsenal, "umeshindaje"..hahahahaha

we ni mnoma.. Ujinga ni kuwa fan wa asenali

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,418
2,000

we ni mnoma.. Ujinga ni kuwa fan wa asenali

Ni ujinga kujifanya supporter wa arsenal halafu ikiyumba unakimbia.>>>Mentor ananiambia mimi(jaguar) kama shabiki wa Arsenal sifai kuogea sabuni ya Mshindi.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,418
2,000
Nilimuuliza mwanangu Elvis swali hil;6+2=?,akajibu:Arsenal,nimemtandika bakora mpaka sasa bado analia eti nimemuonea bure!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,418
2,000
Ni ujinga kuropoka kwenye mtihani kwamba mtihani sio wenyewe wakati kabla ya mtihani uli-solve gaka fake.

Amyner

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
2,398
2,000
Ni ujinga ukiwa unasikiliza taarifa za habari jirani akapita karibu na wewe ukamsalimu kwa kumuuliza "habari za leo?!"

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom