hivi ni nani anaweza kunchekesha nifurahi kidogo saa hizi ....

blue eyez

Member
Nov 18, 2011
8
1
ebu naombeni kichekesho jamani nicheke kidogo, yaani najiskia bored vibaya sana saa hizi, i am a single lady ...
 
yabadilishe macho yako yawe red eyes halafu ujiangalie kwenye kioo uone utakavyotisha. Nashut down
 
Chukua simu yako weka vaibleshen then tafuta besenii jaza maji ingiza cmu ndani ya beseni kisha tafuta cmu nyingine Pigia cmu iliyo kwenye beseni utaona Inaogelea utacheka sana mpaka raha .
 
Kuna mambo 7 ninayajua
kuhusu wewe
1.Unaisoma hii hii post
2.Huwezi kugusa meno
yako yote kwa ulimi wako.
4.Umejaribu kuyagusa.
5.Unacheka/umetabasam.
6.Hujagundua kama
nimeiruka namba 3.
7.Umerudia kuangalia kati
ya namba 2 na 4
 
ebu naombeni kichekesho jamani nicheke kidogo, yaani najiskia bored vibaya sana saa hizi, i am a single lady ...

We na weeeeeeeeeeeee!!.. Shida yako itatatuliwa Jukwaa la utani, Humu utapata mashushu mwishowe ukalale umenuna...
 
biashara mtangazo bibie
weka embe zako chumbani kama hazijakuozea

mzima weye, sijakutia machoni, any better?

Wanaojua mbivu watafuata harufu, hamna haja ya kuziunguza kwa jua.

Dah, we acha tu.Still sick, hopefully mpaka kesho ntakua nimepata nafuu.Weekend wapi?
 
Back
Top Bottom