Naamua kufanya kama kamanda Godbless Lema

Status
Not open for further replies.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Ni maamuzi magumu lakini naomba niyafanye. Nimekuwa nikiandamwa sana na baadhi ya member wa hapa JF kuwa mimi ninachafua post nyingi humu ndani hasa jukwaa la jokes, watu wanaoniandama wengi wanitishia kunipiga bann ama kunitukana mpaka niwakome. Sasa nataka niwaonyeshe kwamba bann sio kitu kibaya kama umepigwa kwa sbb ya uonevu na wivu uliofanywa na member mwenzako.
Kwa uzi huu nawaomba modes ifikapo j3 12am mnipige bann ya siku mbili yaani 48 hrs, na mniachie j5 12am, lengo ni kutaka kuwaonyesha wanajamvi wanaonitishia bann na kuzuiwa kwa uhuru wangu wa kutoa maoni hapa JF wajue kuwa mimi siogopi bann. Asanteni na ninaomba kuwasilisha.
 
Unapigwa PERMANENT BANN hakuna cha kurudi tena mpaka utakapo graduate chekechea unayosoma.
 
Hatuna muda wa kujadili mambo ambayo hayana tija kwa taifa letu jenga hoja za mabadiliko ili uchumi wa nchi yetu uelekee ile Tanzania tunayoitaka
 
Hatuna muda wa kujadili mambo ambayo hayana tija kwa taifa letu jenga hoja za mabadiliko ili uchumi wa nchi yetu uelekee ile Tanzania tunayoitaka
Mkuu kuna jukwaa la siasa,huku ni kuhusu jokes
 
Najua ni uamuzi mgumu, lkn nimeomba bann mwenyewe ndani ya saa 48.
 
Najua ni uamuzi mgumu, lkn nimeomba bann mwenyewe ndani ya saa 48.

Lema hakukaa siku mbili jela bali wiki mbili au siku kumi na nne (14). Sasa sijui kama utakubali PAW akulambe kwa wiki mbili mfululizo?
 
Badili maamuz yako pliiz tutakosa mambo humu!

Nimekuelewa Vengu, lakini acha nile bann la siku mbili kwanza hlf watu watakoma kunitisa. Na modes hawatanipiga bann mimi mwenyewe nitakaa nje ya JF 5days, 120hrs manake mtaniona tena humu ijumaa.
 
Wanafunzi wa chekechea utaswajua tu.

hii ungepeleka kwenye jukwaa la chit chat ndo ingefaa maana haina ukwaa lingine hapa ni utani jamani not sehemu ya kuomb ban.

Naomba tuwe ewaelewa hata kama hatujasoma basio tufuate maelekezo tutajikuta tunafanya mambo kisomi. tusichanganye majukwa.

Nawasilisha.
 
Lema hakukaa siku mbili jela bali wiki mbili au siku kumi na nne (14). Sasa sijui kama utakubali PAW akulambe kwa wiki mbili mfululizo?

Kuna uzi nimepost wa kuomba modes badala ya 48hrs wanipige 120hrs(5days), kuanzia leo saa kumi na mbili jioni mpaka alhamis muda huo. Wasiponipiga bann mimi mwenyewe sitalogg in kuanzia kesho.
 
Nimekuelewa Vengu, lakini acha nile bann la siku mbili kwanza hlf watu watakoma kunitisa. Na modes hawatanipiga bann mimi mwenyewe nitakaa nje ya JF 5days, 120hrs manake mtaniona tena humu ijumaa.

Nini maana ya
Bann
Modes?
 
Ngoja nikupe ushauri wa bure
msuba unavutiwa mdomoni
ukivutia kwenye masaburi ndo inakuwa unaleta usela m.a.***v. kama huu

kamaizie kwanza uji uloachiwa na hausigelo

Najua ni uamuzi mgumu, lkn nimeomba bann mwenyewe ndani ya saa 48.
 
Ngoja nikupe ishauri wa bure
msuba unavutiwa mdomoni
ukivutia kwenye masaburi ndo inakuwa unaleta usela m.a.***v.

haaa haaa Afisa Elimu, huyu wakusoma ni problematically kweli nahisi kweli usela dung unamsumbua kuna kipindi alianzisha Thread ya kutaka kwenda kumuona mbunge wa Iringa mjini kisa mwane hajaitwa kazini baada ya interview TANESCO
 
Kuna uzi nimepost wa kuomba modes badala ya 48hrs wanipige 120hrs(5days), kuanzia leo saa kumi na mbili jioni mpaka alhamis muda huo. Wasiponipiga bann mimi mwenyewe sitalogg in kuanzia kesho.
Mi namwomba mod aongeze 0 kwa mbele ya 5 uliyoomba walau utakuja na akili ya secondary kuliko uliyonayo sasa
 
Najua ni uamuzi mgumu, lkn nimeomba bann mwenyewe ndani ya saa 48.

Mwenyewe kaja kukudai computer yake?alikuwa anakutafuta sana ni wazo zuri kumrudishia naamini mpaka hiyo ijumaa utakuwa ushapata japo kasimu ka kichina.
 
tena ananitania,
nilikuwa nimesahau kama mie ni afisa elimu
Kuanzia sasa namfukuza shule zote za duniani
ngoja akapambane na Tanzania university of life

haaa haaa Afisa Elimu, huyu wakusoma ni problematically kweli nahisi kweli usela dung unamsumbua kuna kipindi alianzisha Thread ya kutaka kwenda kumuona mbunge wa Iringa mjini kisa mwane hajaitwa kazini baada ya interview TANESCO
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom