nawatakia sherehe njema wahasibu wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nawatakia sherehe njema wahasibu wetu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Dec 17, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  magreduu wetu wote wa Uhasibu kurasini, nawapongeza na kuwatakia sherehe njema hapo uwanja mpya wa taifa. Mje huku kitaa msaidie kulisongesha gurudumu la maendeleo.halafu musiwe wala rushwa na wahujumu uchumi. msiwe mafisadi. bila shaka Mungu atawasaidia. halafu hapo uwanja wa taifa Musiwe kama mashabiki wa simba wanaosimama kwenye viti badala ya kuvikalia. Mimi jioni ntawasubili masai club kurasini. naamin leo patafurika na tutainjoy pamoja. Mia
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sasa kama siyo member wa JF watapataje hizi pongezi zako? Si ungeziweka kule Habari Mchanganyiko.
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ungeweka tangazo pale uwanja wa taifa au hapi inapofanyika graduu

  asante
   
Loading...