TOM Vs JERRY

TOM Vs JERRY

Pindima

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
347
Reaction score
82
Why is it that Tom
never really eats Jerry...????aaah mi nimechoka kuona wakikimbizana kila siku!!!!NI LINI ATAMLA KILA SIKU NIMEKUA NIKISUBILI NA SASA NDEVU ZANIOTA LAKINI BADO TUUUU!!!!
 
tom ni mwisho hawezi kuliwa ana mbinu nyigi za kumtoka jerry. Nashut down
 
Tom ni mchungu siku Jerry akimula maisha yao wote ndo mwisho, hakika Tom & Jerry ni burudani.
 
Why is it that Tom
never really eats Jerry...????aaah mi nimechoka kuona wakikimbizana kila siku!!!!NI LINI ATAMLA KILA SIKU NIMEKUA NIKISUBILI NA SASA NDEVU ZANIOTA LAKINI BADO TUUUU!!!!
Peleka Pumba zako JF Chit-Chat
 
tom ni mwisho hawezi kuliwa ana mbinu nyigi za kumtoka jerry. Nashut down

Mkuu ni Tom ndo hawezi kumla Jerry. Tom ni Paka na Jerry ni Kipanya...
(Unless nowadayz Panya anamla Paka..)
 
Wazee hivi vikatuni vimenifanya niwe mteja wao tokea nilipokua mdogo mpaka sasa nikiwa na hamu ya kuona jerry akiliwa lkn wapi?!now nna mtoto nae anauliza swali nililokua nikiliuliza!!
 
Paka wa kimamtoni hawali panya arifu, wana spesho dayati..!
 
Mkuu ni Tom ndo hawezi kumla Jerry. Tom ni Paka na Jerry ni Kipanya...
(Unless nowadayz Panya anamla Paka..)

The the the🙂 Kuchanganya mambo huko! Jerry akiliwa kile tukiangaliacho kitakuwa kimefika tamati! Fred Quimby (director wa kwanza wa T&J) alikufa kamuuacha Jerry hai na hasi leo anadunda tuu!
 
Ha ha ha, ee mnyezi wasamehe hawa waja wako hawajui walitendalo

am a
fan of Jery like crazy siku akiliwa ntaenda omboleza uwanja wa taifa

ushindwe na ukapotelee kusikojulikana wewe unayetaka jery aliwe
 
afu ujue siku tom akimla Jery ntahakikisha yule mbwa anamla tom at any cost.
 
huwa napenda kumuona Tom kampenda msichana, hizo nginjanginja zake za maandalizi, sharuru anazipaka mate, nywele anachana, madaha ya kumwaprochi binti huwa yananimaliza, gitaa kwa pembeni akianza kuimba sina mbavu.

Nafurahi zaidi jery akitibua dili na kuondoka na binti

hahaha ataliwa na yale marafiki zake tom....yale huwa yanakula kwenye madustbin
 
Me nampenda yule mmama mwenye miguu minene anapenda kweli kumpa tom madhiwa!
 
Back
Top Bottom