Nampenda sana Mwita25 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda sana Mwita25

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwita25, Dec 16, 2011.

 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndiyo manake! Kwani nani kasema mtu kujipenda mwenyewe ni dhambi? Ni upuuzi sana kuona mwanamke anaanzisha thread za kumpenda FF kila siku bila hata sababu za msingi na kutuacha wanaume watanashati kama mimi. Huyo FF mwenyewe nasikia ni bibi kizee wa kutupwa na hafai hata kuwekwa ndani. Upuuzi mtupu.
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kwahivyo wewe kinachokukera ni ile fact ya kwamba hizo nakupenda anaambiwa mtu mwingine na sio wewe...hahhahaa...mwanaume shababi hawezi akakaa na kuanzisha thread kama hii kwakweli!! Na kwanini FF na si mwingine..ukiona hivyo ana kitu cha ziada humu JF ambacho kinawapendezea watu kwanin mtu asi-express hisia zake juu yake....Mmmmmh,una lako jambo!!
   
 3. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,457
  Likes Received: 757
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahaha! Mwita umefulia....ndo kujianzishia thread, sitaki kuamini, khaaaa
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahah...lol! Mi like this mwita25
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hii ni kali kuliko. Lol.
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaa Mwita25......
   
 7. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,457
  Likes Received: 757
  Trophy Points: 280
  Ninavyomjua Mwita ni mojawapo ya wana JF ambao mara nyingi ideas zao zina mshiko, sasa hii ya leo ya kuja na hii si kufulia huku jamani.
   
 8. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndiyo nimeshajianzishia sasa. Hili litakuwa pigo kubwa sana kwa FF
   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  siyo nimefulia, hii ni vita takatifu dhidi ya wanawake wanaopenda wanawake wenzao
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nilikuja haraka kwa nia ya kusema kua hata mimi nampenda Mwita25 ila nimekata tamaa baada ya kuona kumbe umeanzisha mada ya kujipenda (nimefurahia) huku unamponda member mngine (hii sijafurahia). Kwa hio naondoka bila kusema!
   
 11. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  aseeeee!!
  kweli kila mtu ana kichwa chake!!
   
 12. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  tehe tehe
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Mimi Huwa nampenda Mwita25 kwa sababu hua namhesabu kuwa katika watoto Watukutu yeye humu ndani ya Jamii Forums ndio kiongozi wao tehetehteh na hayo macho yake utafikiri mtoto aliye kanyagwa tumboni.......
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,086
  Likes Received: 7,315
  Trophy Points: 280
  Mimi nikisema nampenda Mdada fulani,
  Ukweli sina shida ingine zaidi ya kumpenda kwa ajili ya kuliwazana nae tu kunako 6X6, hakuna kingine.
  Sasa wewe Mwita unajipenda kwa ajili ya "Self-Service"??
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sasa mwita, rejao, ff si kambi moja? Mbona mnapondana?
   
 16. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mnh!!..
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mpango wao ni kutuhamisha mawazo tuwajadili wao tuache mambo ya msingi
   
 18. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana nimeanzisha hii kamba ili watu wampotezee FF
   
 19. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Muhimbili National Hospital?
   
 20. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mimi nimefungua hapa kushitaki kwa mods kwamba mwita kaanzisha ID nyingine ya tatu,lakini nilipoikuta ya ID ya kwanza ngoja niwe mpore.
   
Loading...