Nimeokota hela,je ninunue TV au DVD?

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Mambo zenu wakuu,leo katika pita pita zangu nimeokota R2800/= ila kwasababu ndio nayaanza maisha naomba ushauri wenu nahitaji vitu viwili hivi kati ya Tv na DVD,je mnanishauri nianze kununua nini? Nitashukuru kwa ushauri wenu.Nalog off
 
mkuu hiyo hela ni yakwangu
nilikutegea tu nikijua utakuja huku jf kutaka ushauri kama huo
unaonaje tukakabiziana kwa njia halali kabisa.
ni kweli siwezi kukupingia ila kama ni ya kwako,je? zilikuwa coins au noti.Nalog off
 
Mambo zenu wakuu,leo katika pita pita zangu nimeokota R2800/= ila kwasababu ndio nayaanza maisha naomba ushauri wenu nahitaji vitu viwili hivi kati ya Tv na DVD,je mnanishauri nianze kununua nini? Nitashukuru kwa ushauri wenu.Nalog off
Ushamba mwingine ni mzigo, hivi unajuwa ni currency ngapi zinaanzia na R?
 
Katoe sadaka 10% katika moja ya below options:
(a)Kwa maskini - Wapo ambao hata matumaini ya kupata mmlo wa siku hawana.
(b)Pitia hosiptali - Kuna wagonjwa hawana uwezo wa kununua dawa/kulipia bili za matibabu na kuna wengine hawana jamaa wa kuwaletea misosi.
(c)Vituo vya kulelea yatima/street children pia waweza ku-opt japo kuwapelekea unga mchele nk

Huo ndo ushauri wangu.
 
ushamba wa kuokota hela au ushamba upi sasa? nchi niliyokuwepo mimi R1=3.5mt kwa maana hiyo najua thamani yake.Hivi ni kwanini unakurupuka kujibu kabla hujaelewa?Nalog off
 
Katoe sadaka 10% katika moja ya below options:
(a)Kwa maskini - Wapo ambao hata matumaini ya kupata mmlo wa siku hawana.
(b)Pitia hosiptali - Kuna wagonjwa hawana uwezo wa kununua dawa/kulipia bili za matibabu na kuna wengine hawana jamaa wa kuwaletea misosi.
(c)Vituo vya kulelea yatima/street children pia waweza ku-opt japo kuwapelekea unga mchele nk

Huo ndo ushauri wangu.
Nashukuru kwa ushauri wako chanya,sasa hivi nitaelekea hospital na kutoa hiyo asilimia kumi kwa wagonjwa,je? iliyobakia ninunue TV au DVD.Nalog off
 
Nashkuru kwa kukubali ushauri wangu.

Kati ya DVD na TV bora ununue TV ili ushuhudie challenges zinavyoendelea bungeni.
 
Back
Top Bottom