Wakusoma anavyochafua hali ya hewa JF

Wakusoma anavyochafua hali ya hewa JF

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,559
Reaction score
11,496
Hivi ndivyo Wakusoma anavyochafua hali ya hewa JF
Wakusoma Pic.JPG
 
Attachments

  • Wakusoma Pic.JPG
    Wakusoma Pic.JPG
    50.6 KB · Views: 40
Jamani sasa mnanitafuta si nilikwishaomba msamaha na watu mkasema yameisha? Sasa uchokozi tena huu wa nini?
 
Jamani sasa mnanitafuta si nilikwishaomba msamaha na watu mkasema yameisha? Sasa uchokozi tena huu wa nini?
Dah! Kijana kazi unayo,badilika tu uwe na matendo ya kiungwana na yote yatakwisha.
 
Teh teh teh teh teeeh! kweli huyu kijana anchafua hewa humu ndani ile mbaya mpaka anataka jukwaa hili alibadili liwe la karaha inambidi abadilike la sivyo mengi yanamngoja
 
Dah! kama alishaomba msamaha msameheni jamani.
 
Dah! kama alishaomba msamaha msameheni jamani.
Alichokifanya baada ya kuomba msamaha kimefuta kabisa msamaha coz watu walishamsamehe ila km umefuatilia thread utaona misamaha imefutwa.
 
Jamani sasa mnanitafuta si nilikwishaomba msamaha na watu mkasema yameisha? Sasa uchokozi tena huu wa nini?

wewe mpaka u fomatiwe kabisa maana kwa ku scaniwa umeshindikana inawezekana kwa kuchanganya kwako madawa ya kulevya umejisabishia kuzaliwa kirusi hatari ndani ya kichwa chako.na anazidi kukushambulia ubongo.ndiyo maana unapuliza vuvuzela kwa njia haramu.
 
Back
Top Bottom