Clouds r white but the sky is blue,monkey like u should b kept in the zoo, dont get angry ull find me there too,not in the cage but laughing at u. ha! ha! ha!
Hapi nyu iya anyway.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete nakutakia heri ya mwaka mpya 2012.
Umefanya kazi kubwa mpaka sasa kuongoza Taifa hili na uongozi wako dhabiti umeonekana.
Nina imani mwaka huu...
pastor: every thing come from above
jamaa: vitu vyote huja juujuu
pastr: when we look today
jamaa: ni lini tutaangalia leo
pastr:we notice everywhere
jamaa: twabandika ilani kila mahali
pastr:it...
JF membars ! Hembu fungukeni mlione hili, kwamba kila NUKTA
SEKUNDE
DAKIKA
ROBO SAA
NUSU SAA
SIKU
WIKI
MWEZI
MWAKA
MUONGO (DECADE).
Zinavyosogea mbele au kupita viumbe vyote...
I'm so grateful for a new year
to spend with you,
my most special one,
my cherished and treasured love,
who has gifted me with happiness and joy,
adventure and excitement,
comfort and peace.
As I...
Baada ya Kupata Breakfast sasa nimebakiza Lunch Moja na Dinner Moja
Hii inanikumbusha school za Bording tulikuwa tunahesabu ikibakia wiki mbili kufunga Shule mnaanza bado Uji 14 Bondo 20 kande 2...
:flypig:......Habari wana JF.... Hopefully you are all well and Good.....:flypig:
Ni kawaida mwanadamu hasa unapokua mtu mzima na responsibilities kuhakikisha kua one has done walau something...
A 70 year old man went to his doctor's office to get a sperm count. The doctor gave the man a jar and said, "Take this jar home and bring me back a sample tomorrow." The next day the 70 year old...
Then there's the woman who goes to the dentist. As he leans over to begin working on her, she grabs his balls.
The dentist says, "Madam, I believe you've got a hold of my privates."
The woman...
Whats a billion years to God?Man: Whats a billion years to u? God: Only a second! Man: Whats a billion dollars to u? God: only a coin! Man: Can I have a coin? God: Yes, wait a second!
I'm getting married tomorrow, it will be a small party and only few people from JF will be invited...., don't bring any gift...., just bring someone who will marry me!!!
Happy New Year 2012 JF...
...to all JF stakeholders. May the year 2012 be a good one to all of us which means:
1. Kiama cha mafisadi
2. Mwamko kwa Watanzania wote katika kuupinga ufisadi na kila aina ya ukandamizaji
3...
Mwaka ndio unaishilia hivyo je tumefanya nini?au je tumetimiza malengo yetu ya kimaendeleo?mimi binafsi sina furaha sana kwani sijafikia lengo nililokusudia,nimefanikisha % ndogo sana na yote hii...
enzi hizo radio tanzania, anko julius nyaisanga, sekioni kitojo, salimu mbonde, dominiki chilambo, ahmed jongo, juma ngondae, sarah dumba, abisai stivin, juma nkamia, bujaga izengo kadago...
Nilijiunga hapa mwezi wa kwanza mwaka 2011.Ndani ya mwaka mmoja nimejifunza mengi ya faida na hasara pia.Nimepata marafiki,
nimehabarishwa habari nyingi ambazo pengine nisingeweza kuzipata kupitia...