Jf karibuni pati ya mwaka mpya home

Jf karibuni pati ya mwaka mpya home

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Tumesha anza kuwasubiri wana Jf,fanyani faster msosi unapoa.

image001.jpg
 
attachment.php

Ngoja nitafute usafiri fasta nakuja..
 
ninavyowajua wana jf hawajui kuvunga sasa kama tupo member elfu40 tukaja asilimia kumi tu, utatutosha huo?
 
Invisible na never give up wamesha fika.
 
attachment.php

Ngoja nitafute usafiri fasta nakuja..

ukienda umekwisha. huu ni sawa na mtego wa panya. nasikia jamaa ni kameruni na kwa mitego hii ya kitimoto na bia anawapata wengi. Mkuu mimi naogopa. siji. Mia
 
Tunaruhusiwa kujiandaa kulewa? In the sense kuna usafiri? lol

Toa feedback basi tusichelewe bana!
 
ukienda umekwisha. huu ni sawa na mtego wa panya. nasikia jamaa ni kameruni na kwa mitego hii ya kitimoto na bia anawapata wengi. Mkuu mimi naogopa. siji. Mia
Kumbe waswahili wa pwani wanajua kwa vilemba.
 
Tunaruhusiwa kujiandaa kulewa? In the sense kuna usafiri? lol

Toa feedback basi tusichelewe bana!
Mabinti wanakaribishwa kulala,ila madume hapana.
 
Tunaruhusiwa kujiandaa kulewa? In the sense kuna usafiri? lol

Toa feedback basi tusichelewe bana!
Feed back ,Never give up amesha lewa kama unavyo ona comment yake.Hajui anaongea nini.
 
Feed back nyingine.Fingganigga mzee wa mia,namwona kwa mbali anamzengea beki tatu wangu.
 
Ugali hautoshi huo mkuu, Nyama gani hiyo btw?

Konyagi vipi?lol
 
Back
Top Bottom