wont stop thinking about you lizzy-2011-2

wont stop thinking about you lizzy-2011-2

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,886
Reaction score
38,176
263237_210054849043965_100001183559085_528473_330418_n.jpg
 
Does it scare you being perfect?
Lizzy, wherever you are, get your helping hand to this fellow young man!
 
basi imwendee manka na mzalendo walio macho naona lizzy amellala jamani msimsumbue
 
ni kweli lizzy hao hao wanaotumbea huruma wakisikia umejaa king wanatuita majina mengine mwaya
 
Niliona nikapita kama sijaona.
Muda wa kulala huu!!

Muda wa kula-laaa! Acha basi kuvungavunga na kujibaraguza! Jibu hoja! Mshikadau ashakufia! Wajua kumuanzishia mtu Thread si kitu mzahamzaha, hivihivi waja sikia mtu kajitundika! Mwaka mpya ! Issues mpya!
 
Back
Top Bottom