enzi hizo radio tanzania dar....!

enzi hizo radio tanzania dar....!

Shagiguku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
409
Reaction score
138
[h=6]enzi hizo radio tanzania, anko julius nyaisanga, sekioni kitojo, salimu mbonde, dominiki chilambo, ahmed jongo, juma ngondae, sarah dumba, abisai stivin, juma nkamia, bujaga izengo kadago, nkwabi ng'wana kilala, charlz hilal, duuuh orodha ni ndefu sana, salum sefu nkamba, a.k.a ss nkamba, mikidadi mahamudu, david wakati, [/h]
 
Siku hizi dj fetty, adam mchomvu, B12
Dah raha sana
 
enzi hizo radio tanzania, anko julius nyaisanga, sekioni kitojo, salimu mbonde, dominiki chilambo, ahmed jongo, juma ngondae, sarah dumba, abisai stivin, juma nkamia, bujaga izengo kadago, nkwabi ng'wana kilala, charlz hilal, duuuh orodha ni ndefu sana, salum sefu nkamba, a.k.a ss nkamba, mikidadi mahamudu, david wakati,

Enzi hizo watangazaji walikuwa wanajua nini wanafanya,hawa wa sasa mamluki kibao. Kwa ufupi fani imevamiwa.
 
enzi hizo radio tanzania, anko julius nyaisanga, sekioni kitojo, salimu mbonde, dominiki chilambo, ahmed jongo, juma ngondae, sarah dumba, abisai stivin, juma nkamia, bujaga izengo kadago, nkwabi ng'wana kilala, charlz hilal, duuuh orodha ni ndefu sana, salum sefu nkamba, a.k.a ss nkamba, mikidadi mahamudu, david wakati,

Salama Mfamao, Suleiman Mhogola, Halima Kihemba, Abisaye Steven, Suleiman Komchaya,
 
Mustafa Nyang'anyi, Mohamed Ngayonga, Gervas Moshiro, Hadija Salmin, Deborah Mwenda, Khalid Ponera, Chisunga, Ben Kiko .......
 
Mustafa Nyang'anyi, Mohamed Ngayonga, Gervas Moshiro, Hadija Salmin, Deborah Mwenda, Khalid Ponera, Chisunga, Ben Kiko .......
bila kumsahau Ezekiel Malongo,jamaa mmoja hivi ambaye anabwembwe kwenye kutangaza mpira
 
Jacob Tesha ( Huyu ndo alisoma taarifa ya habari ya saa mbili usiku siku alipotangaza kifo cha raisi Melkior Ndandaye wa Burundi mwezi October mwaka sikumbuki)
Julius Nyaisanga ( Mzee wa kipindi cha endelea na BP )
Chisunga Stephene ( Akiripoti toka Kigoma )

Mzee wa " Mambo hayo" akiripoti toka Tabora kwa mbwembwe sana jina limenitoka
 
Maria Ulimwengu, Eda Sanga, Sango Kipozi, Abdul Omar Masudi. Ahmed Jongo na Juma Ngondae
 
Bila kumsahau Richard Maabadi wa ITV enzi hizo, Suzzana Mongi!
 
Hello Jamii forum hamujambo wote,mwenzenu mgeni karibuni A town
 
club raha leo shøoo@erick ngombale
misakato@..
philips@nyaisanga
nipe habari@late Dav Wakati
kijaluba oyee@...
Majira@ben kiko/late abisai
 
bila kumsahau Ezekiel Malongo,jamaa mmoja hivi ambaye anabwembwe kwenye kutangaza mpira

Mpira ukiwa katikati ya uwanja (ma unatazama kwenye tv) utamskia redion anasema gooooo..... la la la la, sio goli!
Hivi yupo wapi huyu jamaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom