Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,664
Baada ya Kupata Breakfast sasa nimebakiza Lunch Moja na Dinner Moja
Hii inanikumbusha school za Bording tulikuwa tunahesabu ikibakia wiki mbili kufunga Shule mnaanza bado Uji 14 Bondo 20 kande 2 wali 2 mnachora kwenye kuta mbali mbali na kila siku zinakuwa uptdate.
Wasiokuwa na nauli kazi hapo kusubiria T.O.M kutoka kwa Mleta barua... siku zinapoisha wale wasio kuwa na nauli unawaona walivyokata Tamaa... Ilisikitisha Sana... Maisha magumu yalianza Zamani Sana...
Nawatakieni Mwaka Mwema muishi kwa Amani na Upendo Heri ya Mwaka 2012 kwa Watakaofanikiwa Kuuona.
Alamsiki