"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"2011" – What a year it has been!!! KARIBU 2012....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by AshaDii, Dec 13, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  :flypig:......Habari wana JF.... Hopefully you are all well and Good.....:flypig:

  Ni kawaida mwanadamu hasa unapokua mtu mzima na responsibilities kuhakikisha kua one has done walau something productive ama worthwhile kabla mwaka huajaisha, ili ikifika mwisho wa mwaka wajivunia kwa kufikisha malengo ama wajizodoa kwa kushindwa. Sijui kwa wenzangu ila mie kwa upande wangu kila nikipanga jambo/mambo yakufanya, mara nyingi most hugeuka kabisa nje ya matarajio... Mara uchemke! Mara matatizo kama misiba, mitaji kuyumba na vikwazo vingi kibao!

  However 2011 kwangu has been a good year.... One of the Great years of my life. Mengi niliponga yameenda tofauti BUT ni mengi ambayo sikua na idea nayo kua yangetokea na kunifurahisha..... God and life itself has treated me fairly and a lot of wonderful surprises and fulfilling events and stuffs..... "NAMSHUKURU MUNGU"....


  Among the few i have been able to achieve the following.....


  • Nimetimiza nusu ya Umri wa kuishi mwanadamu nikiwa na afya njema.
  • For the first time in four years nimeweza sherekea birthdays za wanangu waoote nami nikiwepo.
  • My love life is great and constantly rejuvinated.... I feel more of a woman as days go on.
  • Nimekua exposed to JF. Hapa ni mambo lukuki nimepata.... Great Friends.... More Networked..... Intensive Knowledge... Entertainment.... Great discussions... The list goes on.


  Kupanga kwangu ya 2011 na kutotokea kama matarajio yangu hayanikatishi kupanga tena ya 2012; Hivo basi mwaka ujao (Mwenyezi Mungu akinipa Uzima) the following ndio mipango yangu....


  • Niache uvivu na nijitume kufanya mazoezi kupunguza kidogo weight.
  • Kuongeza elimu – walau ki course chochote CV ipendeze cheti kimoja ukutani kipo lonely.
  • Tafuta organisatiion inayo gusa jamii moja kwa moja na kujiunga nayo; walau nami nijivunie najitolea....lol
  • Badilisha comp na kununua simu nzuri kidogo maana mchina kanichosha.
  • Get pregnant .... AGAIN. Baba watoto kachachamaa....  Fellow JF Members.... Upande wako HOW WAS 2011? (Good OR Bad?) na What are your plans for 2012? GOD Willing?  Pamoja Saana:grouphug:

  AshaDii.

   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ngoja nilitee petrol kabisa nichochoee moto......mwaka ujao :mimba::mimba: lazima mwaka huu amelegeza kamba..:eyebrows::eyebrows:
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Mipango yangu yote inaenda vizuri na nimeanza kuona mafanikio jinsi mwaka unavyoisha.
  kwahiyo GOD IS GREAT.
  Natumaini hata plans za 2012 zitaenda vizuri.[​IMG]
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mimi mwaka 2011 nilifanikiwa kujiunga JF na kufahamiana na mtu kama FaizaFoxy ingawa hata hivyo nilipoonana naye alikataa tusipige picha.
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hahahahaha..... PA Niharakishe kusema samahani kwa makosa yoote ambayo
  yapo kwenye list yako.....lol... Ila najua hamna kilichokua kimeharibika.

  B2T Hebu bana jibu swali how 2011 had treated you..... BTW unashabikia hio hali? watoto nilowazalia hawatoshi jamani? lol:alien:
   
 6. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  limwaka witiri hili, damn, acha liishe fasta.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Excellent KWELI GOD is GREAT aissee.... Ashukuriwe kwa Meeeeeengi!! Pamoja na hayo hebu dadafua plans zako basi.....lol
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mwita25 mzima wewe?? Hapo colored tupo pamoja..... aisee why twin wangu alikukatalia picha? there has to be a concrete reason...
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh, yaani mie ndo bazazi wa mwaka
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Memo problem yaweza kua sababu you are always on motion.... Sometimes relax and breath in the Fresh air.... Kitu gani kilikuboa mpaka wataka uishe faster? (if you don't mind...)
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Masomo kama kawaida ila kuongeza jitihada
  kuwa na safari mhimu sana ambayo nitafurahia
  lol na mengine
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kongosho I don't bliv "Self underestimation" ipo in your vocub bana. Au sijaelewa na Ubazazi ni sifa nzuri? Open up pleeeease....lol
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Jamani.... Ukisikia the beauty of being young.... Sometimes I envy young people wishing niwe with this mind but young... would have don a lot of things tofauti. Tukiwa wadogo time huenda taraatibu na mipango yetu mara nyingi based on ones self.... Hata hivo it is your time katika maisha yako to live to the fulllest!
   
 14. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  2011, what a year it has been!
  1. Nimetuzwa a National award na an International Award for the job my team and I make for rural communities
  2. Nimeanza a distant relation with my husband (good and bad...)
  3. Nimekua karibu zaidi na Mungu wangu (I am a muslim)
  Karibu 2012:
  1. Get back to my family (end the distant relation!!!)
  2. Get back to my job (and get promoted, of course)
  3. Boost my little farm project...
  But these are my birthday resolution (august), this is merely the time to re-affirm them and assess the first term.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli mimi naomba huu mwaka uiishe hata leo honestly kabisa this year wasn't good for me lot of obstacles up and downs ila namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hai
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Roulette my Alter.... Impressive aisee. Wining a national award is nothing but a dream for most of Us.... HONGERA Saaana. No wonder for you are one intelligent lady and am sorry to say that we have few of those hasa kwa sie waislam.... Ikiwa fueled by a lot. Hivo nikikuta my fellow woman who is intelligent na anajitambua... I feel so good. And a Islam at that.... You can not imagine...

  Pole for the long distance dearest.... We are in the same boat it seams... But God is Great and with a Great man anything and all obstacles can be sidestepped and crossed. Hopefully you will be back on time with your family and loved ones....

  QN. Can you say exactly in general of it was good or bad for you.... Note that the good/bad should overrun the other.....
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I had a feeling it was good for you (sijui hii idea ilitoka wapi) i guess in our conservations there is something you left out.... Pole Alias... Hopefully the next will be Great. Will have to make sure....

  Kitu gani umepanga for the next year and you are looking forward to it?
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kuwa young kuna raha yake pia kuna challanges kibao za kuumiza kichwa
   
 19. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  It was a wonderful year my dear, as kila kitu kilicho tokea kimenisaidia kwenda mbele (like misiba, distant relation etc). I was able to use them positively. Hapa tunafika almost mwisho wa mwaka, balance iko largely positive!
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Excellent if you don't mind.... Challenges gani wa face kwa sasa kama kijana?
   
Loading...