Mwaka ndio unaisha Je tumetimiza malengo yetu?

Mwaka ndio unaisha Je tumetimiza malengo yetu?

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
20,352
Reaction score
13,453
Mwaka ndio unaishilia hivyo je tumefanya nini?au je tumetimiza malengo yetu ya kimaendeleo?mimi binafsi sina furaha sana kwani sijafikia lengo nililokusudia,nimefanikisha % ndogo sana na yote hii ni sababu ya matumizi mabaya ya hela,na kitu kinachonimalizia fedha zangu ni ulevi wa kila siku j3 hadi j3,leo nakunywa ka mwisho ikifika saa 6 sinywi tena mpaka nikamilishe malengo yangu,najua tuko wengi humu, jamani New year ni uzee je tumejiandaaje na uzee?UMRI HAURUDI NYUMA UNASONGA MBELE,ngoja nimalizie bia yangu kwanza.
 
mkuu hata mm malengo cjayafikia kwa kias kikubwa, sababu nyingine are beyond control, mfano niliplan niwe na mwenza mwakaa huu nimeshindwa!
 
mkuu hata mm malengo cjayafikia kwa kias kikubwa, sababu nyingine are beyond control, mfano niliplan niwe na mwenza mwakaa huu nimeshindwa!

Mkuu mwaka unaokuja inatakiwa tutimize malengo,mimi nilipanga kumalizia nyumba zangu mbili na kumnunulia wife kausafiri,vyote sijafanya nimeamua 2012 lazima nitimize,na wewe jipe moyo kwani kuchagua ni kupanga.
 
The laga zimesababisha nisisitimize malengo yangu,tarehe 1 naachana nazo mpaka nitimize malengo yangu kwanza.
 
Asangalwisye mwa lunyaso,nali mbine lino mbonile mbona siwaoni muifile kughu kinja kipya kikwisa.
 
Songela i sooongo dada songela i songoo!! Haja heja!! Kope kubwaaani dada songela i songo!! Haja heja!!kope kuchuuunya dada songela isongoo!! Haja heja!! Ipyana,lwitiko,mwambopo,anyelwisye,ngwandumi,imbwele,mposi,indungu,sikaafunje,iilopa,mafumbi,isekwa,injuni,kifalafumbwe, linga mulipo muno namungomele ipm mwe,mbasyukilwe nnono mwe mwe,kinja iki kyali ni ndusu fijo mwe.
 
Najiona ni mwenye furaha sana hadi dakika hii...
Itoshe tu kurudisha sifa na utukufu kwa yeye mwenye nguvu zote....

NIMEFANIKISHA MENGI KWA KWELI.............. HALLELUJAH..!!!
 
naendelea kumshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi ya uhai mpaka sasa kwani ndugu na marafiki zangu wengi wametutoka 2011 ,na imani mengineyo tutapata kwa ziada ,
@)!@ 2012 i will be ...
 
duh, malengo?
Siishi kwa malengo, naishi heregeni
 
Songela i sooongo dada songela i songoo!! Haja heja!! Kope kubwaaani dada songela i songo!! Haja heja!!kope kuchuuunya dada songela isongoo!! Haja heja!! Ipyana,lwitiko,mwambopo,anyelwisye,ngwandumi,imbwele,mposi,indungu,sikaafunje,iilopa,mafumbi,isekwa,injuni,kifalafumbwe, linga mulipo muno namungomele ipm mwe,mbasyukilwe nnono mwe mwe,kinja iki kyali ni ndusu fijo mwe.
Wewe kweli inaonesha laga imeanza kupanda kichwani.
Kila la heri mkuu!
 
Wewe kweli inaonesha laga imeanza kupanda kichwani.
Kila la heri mkuu!

Nashukuru sana mkuu ndio naiaga hivyo,hainipi faida yeyote zaidi ya kuwafaidisha wauzaji tu,mimi ntakuwa mtumwa mpaka lini?
 
naendelea kumshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa pumzi ya uhai mpaka sasa kwani ndugu na marafiki zangu wengi wametutoka 2011 ,na imani mengineyo tutapata kwa ziada ,
@)!@ 2012 i will be ...

Hongera sana kwa hilo mkuu,kesho tumshukuru mungu kwa kutufikisha New year,lakini tusisahau malengo Mungu atatusaidia.
 
Asangalwisye mwa lunyaso,nali mbine lino mbonile mbona siwaoni muifile kughu kinja kipya kikwisa.

masikini..! Pombe ishakukolea naona, heb kalale kwanza tutaongea vizuri kesho!
 
Najiona ni mwenye furaha sana hadi dakika hii...
Itoshe tu kurudisha sifa na utukufu kwa yeye mwenye nguvu zote....

NIMEFANIKISHA MENGI KWA KWELI.............. HALLELUJAH..!!!

Hongera sana mkuu.
 
Jamani ndio unakaribia kuondoka huooooooo!!! Jamani hauna marudio huo ndio unaondoka hivyo.
 
Mwakitalima,mwambene,anangisye,mwaisapile,mposi,mpoki mwe umwe mulikughu?
 
Back
Top Bottom