Happy new year Mr President

OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,251
827
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete nakutakia heri ya mwaka mpya 2012.
Umefanya kazi kubwa mpaka sasa kuongoza Taifa hili na uongozi wako dhabiti umeonekana.
Nina imani mwaka huu mpya wa 2012 utazidi fanya kazi kwa juhudi na maarifa ili kuleta maendeleo kwa mtanzania wa kawaida.
Kumbuka changamoto zinazokukabili ni nyingi sana,suala la ukosefu wa ajira hasa kwa vijana linatishia ustawi wa nchi yetu.
Kilimo cha jembe la mkono chazidi kuturudisha nyuma.
Tofauti ya kipato kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho ni kubwa mno na inazidi kukua kila uchao.
Gamba nalo lazidi kuchafua chama unachokiongoza.Tafadhali mkuu,fumba macho na mfutilie mbali Don king once and for all.
Sihitaji kurudia kila changamoto kwani nina imani wazijua na waelewa nini chatakiwa kufanyika kuondokana nazo.
Nina imani nawe Mhe Rais wangu ndio maana nimekutumia salamu hizi za heri ya mwaka mpya na nina amini ikifika 2015 utaondoka na watanzania watakukumbuka kwa kazi njema utakayokuwa umewafanyia.
Usisahau ibada...
Mie ni mwananchi wako mtiifu
OTIS
 
OTIS Don king sio gamba umesahau alivyompa live mkulu wake kwenye kikao chao? Gamba ni yeye mwenyewe mh. mkulu
 
Don King is your next Presidaa according to the prophecy, give him support. Believe me! Don is the right man for the right job. Let us give him the last chance as an incharge of the government.
 
Don King is your next Presidaa according to the prophecy, give him support. Believe me! Don is the right man for the right job. Let us give him the last chance as an incharge of the government.

Dirty money speaking.
OTIS
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom