jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Kama hukujisumbua kuifungua link, basi nimekufungulia, hao ni wanyawa matajiri si tu kushinda wanyama wenzao...Taratibu tu utaelewa, ndo dunia hii mkuu...Mhh?Mona kama sijaelewa vile
Na mtetea wangu, nataka aolewe na huyo jogoo.
Wajukuu lazzima warithi kitu.
Teh teh teh!
Mbavu zangu pliiz!
BTW mkuu sisi binadamu ni wabinafsi sana, hivi huo utajiri wa hao wanyama unajuwa ungesaidi maisha kiasi gani ya wanadamu?
Ndiyo freedom hiyo ya hao watu, uzuri mmoja tuliikataa hiyo freedom yao ya kuwa less of a human being...
Sijui watu wengine wanafikiriaje kwa kweli, hii haingii akilini hata iweje...
Hawa watu lazima walikuwa na tatizo la upweke na maybe walitaka kuabudiwa na wanadamu wenzao, sasa kwasababu they can do anything to thier pets, basi that were they take solace...Hence reward them with such a massive inheritance?!
Hela zikiwa nyingi sana zinaleta kichaa
Afu uwe labda huna hata mtoto
Lazima ufanye kufuru kama hizo
Ingekuwa ni huku hizi extended family, unamawia hadi balozi
Kweli Kongosho, i have realised kwamba inawezekana ni tatizo la culture, yani kuku badala nimchinje nile namwachia mamilioni ya dola na kuna wanadamu wanakufa njaa na magonjwa?
Kwangu binafsi haiinii akilini, nilishawahi kudate a white chick na huwa wanapenda sana pets, sometimes huwa they get in ma nerves!
Kamwe hatuwezi kuwa sawa na wao kutokana na culture!
Kwetu sisi culture yetu kacha urithi kwa mnyama ni laana!
BTW hawa ni matajiri kuliko "Eligible bachelors" wengi sana lol!
Ha ha ha, ni culture na life style
Bima tu ya huyo pet is a fortune kwa mtz
Anakula chakula cha supamaketi na Dar inamaanisha uende mliman City
Wakati mwenye pet unanunua Tandale Mall
Hatuwezi haya sie, tena utalaaniwa hadi na prezidaa
Umwachie urithi mbwa? yaani mlinzi?
Gunther IV bought a Miami villa from Madonna and won a rare truffle in an auction.
Hapa kama si judge, basi wajukuu wa bibi Leona Helmsley wangekosa kila kitu, hata hivyo bado mbwa aliambulia dola miliioni mbili kutoka kwenye msuguano huo wa kisheria uliohusisha urithi wa dola milioni 12 lol
Trouble Helmsley should have inherited $12 million from hotel magnate Leona Helmsley if a judge had not nullified the original will of Leona. Nonetheless, the Maltese terrier was left with $2 million. The "Queen of Mean" had dropped her two grandchildren from her last will out of caprice. Her will was named one of the 101 Dumbest Moments in Business of 2007 by Fortune magazine.Other Millionaire Pets
Na mtetea wangu, nataka aolewe na huyo jogoo.
Wajukuu lazzima warithi kitu.
Mara mia wangeacha urithi kwamba mbwa huyo ihakikishwe kuwa yuko taken care of just the same as it was before the owner died.huu ni ujinga kama siyo wehu kumrithisha mali mnyama hata ingekuwa sh. 100/=. ni dhambi isiyo na msamaha mbele ya mwenyeezi mungu. ni binadamu wangapi hawana hela hata ya kukamilisha mlo mmoja kwa siku?, ni watoto wangapi yatima wanaohitaji kusomeshwa? ni wagonjwa wangapi wasio na uwezo wa kugharamia matibabu? wangapi wanakufa kwa magonjwa yanayoweza kutibika? jamani tupendane na tusaidiane....huo utamaduni wa kuwarithisha wanyama badala ya binadamu ni uchoyo usio kifani na ujinga uliopitiliza. Eeeh Mwenyeezi Mungu tunusuru na ujinga huu.