Wadau mie ni mpenzi wa jukwaa hili, but nna muda kidogo sikatizi mitaa hii.
Haya basi niwaache na hii ;
Shoga huyu veterani (kwa jina maarufu Jeifoo) alikua kakaa kitini nje ya nyumba...
Mzee mmoja alikuwa anafuga kasuku dume, yule kasuku akawa na mchezo wa kuingia banda la kuku na kuwapiga miti(kuwa sex).
Mzee alivyomstukia akawa anampa kila aina ya adhabu kasuku haachi.akaamua...
A: ndizi bei gani?
B: moja shilingi 100
A: mimi nina shilingi 60
B: kwa shilingi 60 hapo utapata maganda tu
A: basi chukua shilingi 40 unipe ndizi, maganda siyataki kaa nayo tu
" hahahaha...
President Boris Yeltsin called Clinton with an emergency:
"Our largest condom factory has exploded!" the Russian President cried.
"My people's favorite form of birth control! This is a true...
Kulikuwa na watoto wawili mapacha wa kike na wakiume,walikuwa kila siku wao ni kula kuku na chipsi,yule wa kike akakuwa mapema akota vivuzi badala ya kuagiza kuku chipsi akaagiza chipsi mayai...
Ni saa za alasiri, jua linaanza kuzama na kagiza kanaanza kutanda. Dereva na abiria wake mmoja wako kwenye barabara inayoelekea mji mmoja. Mara abiria anasikia mlio wa bung! bung! ukitokea nje ya...
Mke alipoona mme wake ameenda safari ya mbali akaamua atoke nje ya ndoa ili atulize hamu yake,akaamua kumleta mwanaume wake nyumbani,Siku moja usiku mme akarudi kutoka safarini na alipofika...
Inavyoonekana sasa wasaidizi wote wa Rais JK wakiongozwa na Makamu wa Rais Bilal, Waziri Mkuu Pinda na Mawaziri wengine wote isipokuwa Kamanda Magufuli wameshindwa kazi au wapo likizo isiyo kuwa...
Jamani huku mtaani kwetu umetoke msiba ndugu wawili wa tumbo moja (kaka na dada) wamefariki wakiwa wamepishana masaa mawili ...nilipomuuliza mama yangu yeye akaniambia mwaka jana akiwa kijiji...
Wakuu naomba msaada kama kuna mwana JF Kigali,Rwanda, anisaidie nitampaje natarajia kuwa hapo mjini in 2 days, kupumzika akama anaweza kunipitisha mitaa ya hapo, gharama juu yangu au anijuze...
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama...
Japanese : Impossible!
American : The question ' s all wrong!
British : It ' s not found on the Internet
And the Indian: F(IV)E
This is the reason Indians are everywhere in the world...
Kuna mama mmoja pale manzese tiptop,huyu ni mnyakyusa,umaarufu anaitwa mama kupilika. Alikuwa na grocery,na kazi yake kubwa ni kuuza vibinti toka mikoani,hasa hasa mtwara masasi na iringa. Yeye...
Jamaa mmoja aliwatembelea wakwe zake, mkoa fulani ambao unasifika kuwa na simba wengi. Ilipofika wakati wa kwenda kulala wakwe zake walimtahadharisha kuwa asitoke usiku kuna simba, wakaagana na...
Wife buys a Dozen underwear of same color 4 hubby her husband. HUBBY:Why Same Color? People will think I never change underwear.. WIFE:Which people who see your underwear than me?
TOTAL SILENCE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.