Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
JAMNI MIE NDO NIMEGRADUATE Chuo Kikuu kimoja hapa nchini .....nimesoma linguistic ....hebu nambie jinsi nilivyokuwa mkali wa tensi na sleng.
We ni mkali kwa asilimia zero (0%).
poa bana.....lakini nitapata skuli ya kufundisha tuuu
Was just playin, signature yenyewe sijaiona maana nipo via mobile.
Iweke hapa nikufagilie mpaka ushangae.
Haya hiyo hapo chini icheki fasta
"If you take a hyena to a well of a water, you can't force him or her to eat that water" Ta Muganyizi
Haya hiyo hapo chini icheki fasta
"If you take a hyena to a well of a water, you can't force him or her to eat that water" Ta Muganyizi
Hahahahahaha
Ohhhhh eat water . I thought we drink water .... no further comment ..
Enhe. . . tangu lini maji yakaliwa?
Hahahahahaha
Ohhhhh eat water . I thought we drink water .... no further comment ..
Hehe umeona ehh Jamaa ni mkaree
Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
Haina taizo him or her hawezi kula. Ukitaka kuyala unagandisha yanakuwa barafu alafu unatafuna.
Muganyizi....
Utaishia kufelisha watoto wa watu wewe. . . .
Watafaulu ile mbaya....alafu nenda kwenye jokes ujibu question tags
Kwa majibu ya kupewa lazima!!
Kwenye joke ndio wapi?Nielekeze njia!!