Kongamano la wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kongamano la wana JF

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mkomatembo, Jan 9, 2012.

 1. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Jamani namuomba mkuu "Invisible" awatangazie wana JF popote pale walipo tukutane japo mara moja na kuweka historia. Ila itabidi katika mkutano huo kuwe hakuna pombe wala kitimoto! ili kila mmoja wetu ahudhurie , yaani kama kuna kina mimi na FaizaFoxy, wasabato , wayahudi ili muradi kutoa fursa kila mtu aweo.

  Aidha Nategemea kuwa zile Avatar zitafanyakazi siku hiyo yaani kuwa kila mmoja sura yake itaonekana kama ilivo kwenye avator yake.

  Ningependa sana kwanza kuonana na Dada FAizaFoxy maana najua watu wengi watakuwa wanamtafuta kwa hamu na kisura "Mwali" na Smile hawa nataka kujua wameolewa?.

  Wengine ambao ningependa pia kuwaona katika sura zao za kwenye Avatar, nao ni :
  Gozo, Majonzi, Juma kidogo, Matumbo, Washasha, Nitonye (Mh huyu sura yake jamani) Ritz, Rejeo (ha ha ha ) inaonesha huyu mbishi sana !
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ogopa hao celebrities.!
  Watakuacha Manzese darajani!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kama ni udaku litaishia kuwa udaku...
   
 4. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Sura zao zinaonesha ni za upole ! haswa Mwali
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  utaniona mkuu ninaweza kupiga corolite kidogo au nitapaka mafuta ya nazi
   
 6. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Itakuwa wapi hapo?lini?na ni mda gani?
   
 7. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  ,

  Tumsubiri Invisible aseme ,
   
 8. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  ,

  Teh teh eh !
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Samahani, mimi nitakuwa busy kiasi, kusukuma jurudumu la maendeleo
  [​IMG]
   
 10. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Invisible ukishajibu naomba mie niwe moderator wa utakaloliamua......tehe teheh hee....:lol:
   
 11. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wewe nia yako nikukutana na Faiza Foxy sio wana Jf wote, mmp na ukutanane nae huko huko
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Siku hiyo nitamvisha pete ya uchumba Malaria Sugu!
   
 13. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wengne avatar zetu hatuwezi kuja nazo mkuu
   
 14. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama unamfahamu huyu Tambwe Hizza ndie MS:lol:
   
 15. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna mdada namtamani kwelikweli, naomba lifanyike mapema ili nikutane nae fesi to fesi.
   
Loading...