Hivi JK na Kanumba the great,nani anapenda kujichekelesha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JK na Kanumba the great,nani anapenda kujichekelesha?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ndevu mzazi, Jan 9, 2012.

 1. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  nisaidieni hili.
   
 2. u

  usawa wa Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mi naona ni wote wanpenda kujichekesha ila ya JK ni natura ( in born character) ambayo amezaliwa nayo ila mwenzangu yule ni ya kufoji.....endeleaaaaaa
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na usawa wa hapo juu..JK ana character ambayo kazaliwa nayo,anatabasamu all the time..
   
 4. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35

  kweli jf ni home of great thikers!!!!naisi wewe in wema sepetu,kama sio wema basi wewe ni wolper au uwoya!!!
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kucheka si kosa KOSA NI KUCHEKA MAHALI PASIPOSTAHILI, JE KATI YA J.K NA KANUMBA NANI ANACHEKACHEKA HOVYO MAHALI PASIPOSTAHILI KUCHEKA?
   
 6. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Upo sahihi kabisa. JK anacheka all the time, hata akiwa kwenye Msiba, akitoa pole kwa waathirika wa Mafuriko, milipuko ya gongolamboto, akiwa hospitalini ameenda kumwona mgonjwa, mfumuko wa bei kwa wanannchi wake wanapata shida, mgomo wa mafuta, mgao wa umeme,

  By the way JK anacheka all the time, hata atakapo kufa atacheka tu
   
 7. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  I love u.ili jukwaa lipi vile bwana mjuaji?
   
 8. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kucheka cheka ni ugonjwa unaowakumba wanawake ambao hawajafanya malovee kabisa au muda mrefu hivo ni kaugonjwa..HIS EXCELENCY NI M2 WA KUTABASAMU 24-7, KANUMBA ATAKUWA MWENDAWAZIMU.
   
Loading...