nijinunulie nini birthday yangu kesho

nijinunulie nini birthday yangu kesho

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
habari wana jf
ebwana mie kesho besdei angu....ni manachuo ofkoz...
nafikiria zawad gani nijikabizi kesho....
ny ideas,,,,over
 
jinunulie gloves
ili ukiwa unamfulia jirani yako chp uvae.
 
Fikiria kitu ambacho unahitaji (kama wallet haiko loaded), au ambacho ungependa kuwa nacho kama huna wasiwasi.
 
Wahi uchukue box la Rough Rider (studded) uendelee kusherehekea birth day zako. Wanafunzi hawafikirii masuala ya kufuga pesa wao ni kusoma na kubang kwa kwenda mbele.
 
Jaribu hii
tila%2Blila.jpg
 
Kama una nguvu chagua kati ya haya....
Liquor.jpg
 
mi nadhani huitaji kujinunulia gift isipokuwa wewe ndo unatakiwa uwanunulie your dad/mam zawadi ikiwa kama shukrani yako kwao
 
Jivalishe pete ya uchumba!
Usishangae, si uchumba na ambition au malengo yako?
 
Happy birthday mwanachuo. Leo ungejipa zawadi ya kwenda kusali kwa imani yako, umshukuru Mungu kwa miaka na hatua ulizofikia. Unaweza kujinunulia kitabu kizuuri, ujiandikie poem ya besdei ya kujipa moyo, usisahau kuandika tarehe ya leo. Kitabu ni zawadi ya milele!
 
Back
Top Bottom