Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,098
- 34,913
Kuna mtu yoyote yule anayeweza kuniambia hii picha ina wanyama wangapi? hebu angalia hapo chini
Tembo, farasi, mbwa, paka, is that a bear?
Nwy jibu ni wa5.
Wapo sita..kuna ka-panya chini ya paka. Kwenye mkonge wa tembo,kuna gorilla....