fiksi

mpigilie

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
310
136
Kuna jamaa alikua muongo kupitiliza ila tatizo anasahau haraka anapodanganya.
Kuna siku alikua anawahadithia watu
> Juzzi tulienda polini kuwinda,tukamwona swala tukaanza kumkimbiza mi nilikua mbele nikamkimbiiza mpaka nikamkamata,washkaji zangu wakaja tukamwinamisha chini...
Wakati anaendelea kuhadithia simu yake ikaita kwahiyo akaanza kuongea na simu,alipomaliza akawauliza jamaa nimeishia wapi kuwahadithia? Wakamwambia umeishia mmemuinamisha
> Ahaaa,basi baada ya kumuinamisha tukaaanza kumvuaa nguo ili tumnanii...
Washkaji wakashtuka "wewe si umesema mmemuinamisha mnyama inakuaje mnamvua nguo mnyama"
> Ahaa kumbe nilisema mnyama, basi tukaanza kukamua maziwa...
Si ulisema swala sasa maziwa ya swala ya nini?
> Hivi nilisema swala, basi tukaanza kumchuna ngozi...
 
Degree yake ya fiksi aliipatia nigeria,ila masters ndo sijui aliipatia wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom