Kisa cha mganga wa kienyeji

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,838
Mganga wa kienyeji alienda msituni na watu wake. Wakaenda wakafika kwenye mti wa mizimu. Basi mganga wa kienyeji akawambia watu wake. Mimi napanda juu ya mti. Nitakachoongea kifatisheni, hakuna mtu kutazama juu sawa? wote wakaitikia sawa.

Basi mganga akapanda. Bahati mbaya juu ya mti kulikuwa na chui. Basi kuona mtu anakuja juu chui akajiandaa mara kamkamata. mazungumzo yalikuwa hivi:-
MGANGA: Uwiii nimekamatwa nachui!!!1
WATU: Uwii nimekamatwa nachui
MGANGA: Sio matani ni ukweli
WATU: Sio matani ni ukweli.
MGANGA: Ninakufa jamani
WATU: Ninakufa jamani
 
Back
Top Bottom