Mwaka 2012 Dunia ni yako chaguo ni lako; chagua kuwa mbali na wanampinga Lowasa' chagua CDM

shykwanza

Senior Member
Nov 28, 2011
156
30
Mwaka 20102 dunia ni yako chaguo ni lako chagua kuwa mbali na wanaompinga Lowasa, Chagua kuwa karibu na Magufuli na Chagua kujiunga na chadema; chagua njia bora ya kuleta maendeleo ya nchi na chagua kutopandikwiza chuki.
 
Lowasa amewalipeni shiing ngapi kamabei ya kulitajataja jina lake kila sekunde?
This is sickening.
 
Kazi ya kujikomboa kama taifa babo sana.
Hawa ni wale walio mjini na wana uwezo wa kupata taarifa sahihi.

Sasa bibi yangu aliye Nkasi, asiyejua kusoma na kuandika atafanya nini jamani?
 
Back
Top Bottom