Kivuko tsh 200 kuingia stand ubungo tsh200!

Kivuko tsh 200 kuingia stand ubungo tsh200!

Zhu

Senior Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
184
Reaction score
24
biashara ni ipi na huduma ni ipi. Tatizo ni tsh 200 au utaratibu wa kupandisha. Tafakari chukua hatua.
 
biashara ni ipi na huduma ni ipi. Tatizo ni tsh 200 au utaratibu wa kupandisha. Tafakari chukua hatua.
Hii idea ya kufananisha kigamboni na ubungo imewashika sana nyinyi msiopenda kufikiri.
Yaani mtu hujali kwamba ilishatolewa na ikajibiwa hapa nawe unaileta, kua mbunifu uje na kitu chako.
Ubungo watu wanasindikiza wasafiri(sio lazima, pia sio kila siku.
Kigamboni watu wanavuka kuja makazini, vyuoni n.k na ni kila siku na lazima vilevile
 
hivi ubungo unaingia kila siku? au kila siku unasindikiza mgeni? unaweza kulinganisha na kigamboni ambako unaishi na kuhitaji uduma ya pantoni mara 2 hadi 3 kwa siku?mara 60 hadi 90 kwa mwezi?

akili za kuambiwa changanya na za kwako........
 
Back
Top Bottom