fainali

fainali

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Mgonjwa:daktari nina matatizo ya kuota kila siku panya wanacheza mpira
Daktari:basi nitakupa dawa utumie leo ukifika nyumbani
Mgonjwa:daktari nitatumia kesho mana leo ndo watacheza fainali
 
Hahahahahahahahahahahah......
We Excellent sio mzima wewe...
hehehehehehehe....uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
mbavu zangu!!!!
JF Dr,kamata Excellent;pima akili yake......
huhuhuhu...kwekwekwekweeeeeeeeeeeeeee...
 
Basi amwache fainali iishe kwanza
 
Huyo mgonjwa kashakuwa mtambo.
ONYO: Bangi ni mbaya.
 
Baada ya fainali mgonjwa atakuwa kesha pona
 
Hahahahahahahahahahahah......
We Excellent sio mzima wewe...
hehehehehehehe....uiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
mbavu zangu!!!!
JF Dr,kamata Excellent;pima akili yake......
huhuhuhu...kwekwekwekweeeeeeeeeeeeeee...
jamaa kaona vidonge visubiri kesho vinaharibu ratiba ya ligi
 
Na jamaa alikua ameshanunua tiket ya mechi tayar halafu docta anataka kumzingua...

Umetisha bro
 
Back
Top Bottom