Jaman mko wapi members wa kituli sekondari.Enzi za akina elisante,kombo salehe,Ester kapanda,sabas michael,moza rashid,deus Maganga,Nawamiss sana jaman.Wapi kadama malunde,anthony pius.Enzi za mwl...
Mteja siku#1;naomba chakula cha mbwa. Muuzaji;Una mbwa kweli?,sikuuzii mpaka umlete huyo mbwa.> Mteja siku#2;naomba chakula cha paka.Muuzaji;sikuuzii mpaka umlete huyo paka wako nimuone...(siku...
Jamani namuomba mkuu "Invisible" awatangazie wana JF popote pale walipo tukutane japo mara moja na kuweka historia. Ila itabidi katika mkutano huo kuwe hakuna pombe wala kitimoto! ili kila mmoja...
Mgonjwa:daktari nina matatizo ya kuota kila siku panya wanacheza mpira
Daktari:basi nitakupa dawa utumie leo ukifika nyumbani
Mgonjwa:daktari nitatumia kesho mana leo ndo watacheza fainali
Kuna jamaa alikua muongo kupitiliza ila tatizo anasahau haraka anapodanganya.
Kuna siku alikua anawahadithia watu
> Juzzi tulienda polini kuwinda,tukamwona swala tukaanza kumkimbiza mi nilikua...
siku moja gangsta aliamua kuacha mambo ya ujambazi na kumrudia mungu.siku ya kutoa ushuhuda ilipofika hali ikawa hivi
mchungaji:unajiskiaje kuwa katika bwana
gangsta:man it was f*kn unbelievabo
Mganga wa kienyeji alienda msituni na watu wake. Wakaenda wakafika kwenye mti wa mizimu. Basi mganga wa kienyeji akawambia watu wake. Mimi napanda juu ya mti. Nitakachoongea kifatisheni, hakuna...
Mke: mume wangu leo nilipokuwa nafua nimekuta condom kwenye mfuko wa suruali yako.
Mume: mke wangu kuna shindano Clouds radio watangazaji wanatembea mitaani ukikutwa na...
ZUZU ALIGOMA KURUDI TANZANIA BAADA YA LIKIZO YAKE MAREKANI KWA MJOMBA WAKE. MJOMBA WAKE AKAMUULIZA "MPWA KWANINI USIRUDI TANZANIA THEN UTAKUJA HUKU UKIMALIZA FORM 6?" ZUZU AKASEMA "UNCLE KWA...
Tangu janga la mafuriko kwa wakazi wa mabondeni litokee watu mbalimbali, taasisi za serikali na kampuni binafsi zimekuwa zikitoa misaada mbalimbali kwa waathirika hao. Katika kutazama kwangu uko...
Mwaka 20102 dunia ni yako chaguo ni lako chagua kuwa mbali na wanaompinga Lowasa, Chagua kuwa karibu na Magufuli na Chagua kujiunga na chadema; chagua njia bora ya kuleta maendeleo ya nchi na...
ziara ya mrema london
mwaka jana While visiting England, Mr. Mrema the Chairman of
TLP was invited to have tea
with the Queen. He asked her what her
leadership philosophy. She
said that it is...
Nimekumbana nayo sehemu hii kitu, Je kuna ka ukweli cha jambo hili?
SINGLE UNDERLINE BELOW THE SIGN!!
These persons are very confident and are good
personalities. They are a little bitselfish but...
kanisa nililotembelea wameniambia nisikanyage bar milele'sasa nikiwaza kuhusu maisha yangu hakuna siku ambayo sijatembelea bar wala hakuna siku nimelala bila kunywa pombe,haya masharti ni magumu...