JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HUYU MWANAMKE MZIMA AU MWEHU????? HEBU SOMENI HII Tiger Woods
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Wahehe katika kijiji kimoja mkoani iringa ambao hawajawahi kumuoana mzungu siku moja vijana wakihehe wakikatisha mitaani wakamuona mzungu wakapiga kelele wakisema nguruwe mzungu akesema No...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
tena wengi wao nimekutana nao humu ndani et mtu anareply with quote sired yenye page mbil alafu anareply hata mstar mmoja haujai et anaandika ''We mkali kwel''
1 Reactions
8 Replies
1K Views
na hamu ya kuanzisha sredi ila sina jambo la maana nataka sehemu ya kupiga soga tu naogopa kuchakachua sredi za watu bure mwishowe waninunie kwa anayetaka kijiwe cha kahawa bila stress...
3 Reactions
322 Replies
21K Views
Mashosti.wangu nisaidiene. jamani am soo down. nashindwa hata kufanya kazi ilhali nina a lot of dedlines to meet. I cant really tell why am having these feelings. Jioni Njema mashosti. Let me...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hebu fikiria mtu anakuuliza 'Waliopewa tenda za ujenzi na kuonesha uwezo mdogo, je, wanyang'anywe wapewe wenye uwezo?' Hilo ndilo lilikuwa swali la kipima joto ya itv leo. Sasa najiuliza hili ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanafunzi kajisomea muda mrefu,kachoka na wala haelewi anachokisoma.Akaamua ku-flip coin ya sh.50,akasema;ikidondokea upande wa Mwinyi>nitalala.Ikidondokea upande wa Vifaru>nitaangalia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiwauliza wahehe wengi hapa iringa wanapendelea chakula gani,wengi watakujibu;ugali kwa maharage.Kwa kihehe maharage yanaitwa dogi.Hivyo wao watakujibu;tunapendelea kula ugali kwa dogi.Mh...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna mdahalo uliendeshwa hapa janvini.. Na wahusika wakuu ni huyo aliyetajwa hapo juu upande mmoja na upande mwingine ni kiranga himself. Kwakwel mdahalo huo ulianza kwa mbwembwe nyingi, lakini...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
vilaza, wenye akili akili kama mm, wachovu, werevu kama mm, wabish, masupar star kama mm, wakali, wapole kama mm, wabaya, wazuri kama mimi, woooote mnakua level moja mkichangia. Bonus kuna watu wa...
1 Reactions
119 Replies
8K Views
Kwanza kabisa naomba nisionekane mimi sina mila ya Kiafrika ya Kupenda wageni, kwa kweli mimi napenda sana wageni tena sana, lakini wageni wa JF wanaboa bwana. Utakuta mada iko juu mpaka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nko usukumani matatzo ya lugha ni km haya, soda:unachota mamchele:unachota mahela:unayachota tu mabiskut:mkachote tu umo ndani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kulikuwa na mwislam mmoja yeye alikuwa mtoro sana katika mambo ya ibada yeye zake ni IDD hadi IDD" sasa siku moja shekhe akamuuliza kwanini kwenye ibada hatukuoni? Akamwambia mbona na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wewe je! Hata sijui ni nani vile
0 Reactions
14 Replies
2K Views
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumbe kompyuter inaunguruma kama simba na screen yake ina vibrate kama simu!! Fungua microsoft word kisha type neno "Y4AreST4p1d" utaona baada ya sekunde kumi, kisha funga haraka hiyo window.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi story tulikuwa tuna ambiwa zamani tukiwa watoto sina uhakika kama ni ya ukweli. Spika Marehemu Adam sapi Alikuwa anaongea kwenye mkutano wa UN wakati sauzi Afrika haijapata Uhuru,akasema. I...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani tumekuwa wepesi wa kusaidiana pale mtu anapoleta suala lake humu, mm nimepost thread kama tatu humu leo nikieleza namna ambavyo maisha yamenikaba nashangaa leo kila mtu yuko kimya naombeni...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
CHADEMA hadi hivi sasa tungesha tengeneza zaidi ya Millioni 50 za Kitanzania kwa kuuza magwanda. Ikitokea mtu akafungua baroo la mtumba wadau wakakuta nguo inyoelekea kufanana na gwanda la chadema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa kakutana na demu kwenye soscial network wakaanza kuchat,jamaa kaomba email ya demu ili wawasiliane zaidi, demu kampa hii. ninaboyfriendwangunampenda@yahoo.com jamaa kampa na yake...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom