Malipo ni elfu50 kwa kichwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ni elfu50 kwa kichwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by TaiJike, Jan 12, 2012.

 1. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Kuna jamaa mmoja alikuwa anataka kwenda ktk kisiwa cha maraha na mazungumzo yalikuwa hivi:-

  Jamaa: Naweza kupata nafasi ya usafiri
  Mhudumu: Ndio nafasi ipo
  Jamaa: Malipo ni bei geni
  Mhudumu: Ni shilingi elf50 kwa kichwa
  Jamaa: Na kama nikitoa kichwa je itakuwa sh. ngapi?
  Mhudumu: EEeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!?????????
   
Loading...