Mimi na mapenzi tena basi

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Nilianza mwaka nikiwa na machungu mengi na matatizo mengi katika mahusiano ya kimapenzi upande wangu.
Nilimuomba Mungu sana aweze kunipitisha katika hali hiyo ngumu na amejibu maombi yangu.Moyo wangu ni mweupe na nimesahau yote.All i wanna do is move on.I know that i dont want to be alone forever,but i have gotten to the point i have realised its better to be alone than being with a wrong person!
I love u all friends,
 
Haya mapenzi haya!!!
kweli ni bora kuwa mwenyewe kuliko kuwa na wrong person,ni kumuomba tu mungu akupe mapenzi kwa right person.
Gudluck Kaba
 
No wonder ukawa unaumwa kila namna ya ugonjwa, kumbe ni huyu mshindi wa moyo wako ndo alifanya uumwe kabanabana, ila ndo mapenzi inatakiwa uwe na moyo wa kuvumilia na kuachana na mahali ya kukuumiza
 
Haya mapenzi haya!!!
kweli ni bora kuwa mwenyewe kuliko kuwa na wrong person,ni kumuomba tu mungu akupe mapenzi kwa right person.
Gudluck Kaba

thanx myn.Our God is great, he answers in time.
 
No wonder ukawa unaumwa kila namna ya ugonjwa, kumbe ni huyu mshindi wa moyo wako ndo alifanya uumwe kabanabana, ila ndo mapenzi inatakiwa uwe na moyo wa kuvumilia na kuachana na mahali ya kukuumiza

hehehe mpaka nikashindwa kutimiza promise
 
I'm glad to hear you are back on your feet.
All the best
OTIS
 
Kichwa cha mada yako kinashtua sana, kinaonesha huitaji tena mpenzi wakatimajibu yako yanaonesha unamsubiri mwenyezi Mungu akupatie mpenzi. Hebu rekebisha kauli ili tujue nini hasa unataka mana hapo unatuchanganya.Ila pole kwa kuachika/kuacha.
 
Back
Top Bottom