Chandarua!

Chandarua!

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Kuna jamaa walikua wanataniana!
Mmoja akamwambia mwenzake hivi :
Aisey mwenzangu umezidi umalaya yaani ingekua kila Mwanamke mmoja unaetembea nae ukimaliza tu, unatobolewa tundu mwilini, basi wewe ungekua Chandarua !
 
unamaanisha matundu yote ya mwilini yangekuwa sawasawa!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom