ndevu mzazi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 687
- 237
1.Mwalimu mmoja alijamba darasan
basi kwa aibu mwalimu akaomba likizo
ya mwezi mmoja. Kurudi baada ya lkzo akaulza darasa
®enhee tuliishia wapi? Mwanafunzi
mmoja akajibu "tuliishia pale ULIPO
JAMBA "
VS 2.mgonjwa :dokta naomba unisaidie na
tatizo la kusahau hata ukinambia kitu
muda huo Huo nasahau Daktari :kwan hilo tatizo limekuanza
Lini?
Mgonjwa :tatizo gani?
Daktari :duuh ......hàhahahaha Anza namba ya status then
comment ........ipi kareee 1 vs 2