Watanzania eh!? Mimi Rais wenu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania eh!? Mimi Rais wenu....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by jamii01, Jan 11, 2012.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  JK: “Watanzania eh”

  WTZ: “Eh”

  JK: “Mimi Rais wenu!”

  WTZ: “eh!”

  JK: “Sina nguvu tena!”

  WTZ: “Eh”

  JK: “Ya kukamata mafisadi”

  WTZ: “Eh”

  JK: “Mafisadi ni wajanja”

  WTZ: “Eh”

  JK: “Wamekomba Benki Kuu” Watoto wanaendelea kuitia “Eh” kwa shauku!

  JK: “Wamelangua na Rada”

  “Wameiba Meremeta”

  “Wamechota nayo EPA”

  “Na makampuni mengine”

  “Sasa kimbieni!

  Watanzania kila mmoja anavyojua anaanza kutimkia kwake na kufanya mambo yake kuokoa maisha yake na ya familia yake
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Huu si utani wala jokes;ni ukweli mtupu...
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  true that!!
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Huu utani wa ukweli ni mbaya sana siku nyingine kuwa makini magamba wakikusikia watakushambulia sana humu
   
 5. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  this is reality show............
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  si vizuri kuleta mambo ya ukweli kwenye jukwaa la utani,
  utafungwa wewe!
   
 7. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  ukweli uliokaa kama utani!
   
 8. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  dah!huo co utani ni ukweli m2pu
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo jamaa kampa shua kabisa siyo
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama kuna ukweli ndini yake jk anavyopambana na mafisadi!
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  JK: “Wamekomba Benki Kuu
  ” Watoto wanaendelea kuitia “Eh” kwa shauku

  Hapo ni magamba yanajibu sio watoto!!!!
  Nimeipenda!!!
   
 12. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haaa...wewe!!
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Watanzania msitazame nyuma,Mafisadi yanapita. Nalog off
   
 14. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Daaah! naona umeamua kumwambia MSHUA
   
Loading...