2012 dunia yako chaguo lako

2012 dunia yako chaguo lako

Mizizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,275
Reaction score
391
Chagua kuishi kwa amani na upendo, upuka migogoro isiyo ya lazima. Chagua kuishi vizuri kwa kufanya kazi kwa bidii. chagua kuepuka ajali za barabarani kwa kuepuka kunywa pombe na kuendesha.

chagua mabadliliko ya maisha yako na jamii yako kwa ujumla
 
Mada hii inatusaidia nn ss wana jf, plse let us discuss something which is value adding

Join Date : 30th December 2011
Posts : 8
Rep Power : 303

this is your problem
 
Chagua kuishi kwa amani na upendo, upuka migogoro isiyo ya lazima. Chagua kuishi vizuri kwa kufanya kazi kwa bidii. chagua kuepuka ajali za barabarani kwa kuepuka kunywa pombe na kuendesha.

chagua mabadliliko ya maisha yako na jamii yako kwa ujumla

Binafsi sikubalia na hiyo slogan hina mchamgo wowote kwa Taifa hili zaidi wanazidi kuweka mchango ya kuimaliza nchi wanashindwa ku-critize ujinga unaofanywa na hao wanaodhani nchi ni teule kwa ajili yao!
 
mkuu, kama waumini unawahubiria kila siku na huku wakiendelea kutenda dhambi, haimaanishi ya kwamba mhubiri aachane na juhudi yake ya kufanya mahubiri. hivyo hivyo, suala la slagan za kuleta umoja na kusisitiza kudumisha amani ni muhimu sana kwa jamii yetu, hata kama mambo mengi hayaendi sawa. ni muhimu pia kukumbushana mambo ya msingi ya ustawi wa jamii yetu, na si bora kukosa yote. tafakari
 
2012 chaguo lake mwenyewe aliyeanzisha hii motto,nahisi ni mzee wa kaya ndo aliyosema haya maneno mwishon mwa mwezi 12 /2011
 
Back
Top Bottom