superglue

superglue

mopaozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,300
Reaction score
525
Hivi ni kwanini bei ya superglue haijawahi kupanda ktk kipindi chote tangu enzi ya mkapa bado bei ni Tsh 500 wakati vitu vingine bei ziko angani kila siku au ndo uchumi wetu uko imara kwa kupitia hiyo gundi yaani hata chumvi imepanda bei kuna nini kwenye supagluu!!
 
aisee hiyo kitu bei yake ya jumla ni karibu na bure. Nalog off
 
hiyo bidhaa soko lake ni dogo watu hawaitumii sana kumbaka high demand high price, ila hii gundi ni noma ukiinasisha vidole viwili lazima kiwembe kitumike
 
kuna jamaa alikosea wakati anapiga nyeto bafuni akatumia super glue akidhani mafuta kilichompata jamaa hadi leo jogoo hapandi mtungi!!!
 
hehee umenikumbusha sticky tape ya Dorah the Explorer, yake mbona ilikuwa na matumizi mengi tu!
 
alafu wanatengeneza faida sana maana bei ya jumla ni kama shilingi mia mbili kwa moja
 
Back
Top Bottom