Mc wa kimasai

amiride

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
200
37
Mmasai alikuwa MC kwenye msiba alipopewa kipaza sauti akasalimia ' MSIBA HOYEEEE'.......MAITI SAFIIIIIIIII.....AMEPENDESA AU HAJAPENDESA..WENYE WIFU IFE KAMA HUYU LAIYONI
 
hahahahahahaha,,,, hata kama ni utani wa makabila huu umezidi kiwango,,, ivi ili kabila la wenzetu tumelifanya katuni!!!??
 
Back
Top Bottom