Kwa nini Wanaume Hatuitani Majina Haya??

Kwa nini Wanaume Hatuitani Majina Haya??

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
[h=6]Wasichana/Wanawake huwa wanapenda kuitana dear, sweet, mpenzi na mengne mengi.
Kwa nini wanaume hatuitani hivi!?[/h]
 
Ukimuita mwanaume mwenzio majina hayo basi juwa aidha ''waliwa'' au uko mbioni ''kuliwa'' na wanaume wenzio......kina mama huitana vile wao kwa asili ''huliwa'' na wanaume
 
Wasichana/Wanawake huwa wanapenda kuitana dear, sweet, mpenzi na mengne mengi.
Kwa nini wanaume hatuitani hivi!?


Ina raha gani mwanamme kumuita mwanamme mwenzie mpenzi! sio tamu kabisaaaaa tena.
 
[h=6]Wasichana/Wanawake huwa wanapenda kuitana dear, sweet, mpenzi na mengne mengi.
Kwa nini wanaume hatuitani hivi!?[/h]
Vipi mkuu, umeanza kutamani kuitwa majina hayo na wanaume wenzio?

Labda with time tutabadilika....miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kumwita mwanaume mwenzio "mshikaji" lakini sasa linatumika comfortably kabisa!
 
mkuu niruhusu niwe nakuita sweetiee. naruhusiwa?
 
Wasichana/Wanawake huwa wanapenda kuitana dear, sweet, mpenzi na mengne mengi.
Kwa nini wanaume hatuitani hivi!?

UnaTAKA KUITWA HIVYO MKUU, we tangaza tu, wako kibao wa kukuita hivyo-ila usiogope kushikwa kiuno, maana wadada huwa wanaitana hivyo huku wakishikana viuno! LOL!
 
Wapo akna Ant Ezekiel ukiwaita Dear watafurahi kweli kweli! Hata wewe ukitaka kuitwa majina kama hayo tia wanja machoni na lipstick utaona dear za kumwaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom