asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,029
Kuna masai alikutana na binti mzuri sana wa sura na umbo uzalendo ukamshinda akawa anamuuliza msichana eti we umesaliwa na mutu au imetengeneswa tu na mutu ikawa inasema apa mbado, hapa mbado alafu ikatokea hifyo...
:lol::lol::lol::lol: