Kati ya mambo haya, ni jambo gani linalokuvutia?

Kati ya mambo haya, ni jambo gani linalokuvutia?

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,068
Reaction score
5,558
1. Bedball(mazoezi ya kitandani).
2. Football.
3. Handball.
4. Valleyball.
5. Basketball.
Kwa upande wangu navutiwa na Football hasa ya nchi zilizoendelea. Karibu sana kueleza ni mchezo gani kati ya iliyopo hapo juu unaokuvutia.
 
Swimming, jogging & ganjaring..!
 
Ni valleyball au volleyball..?? Napenda football ( Man U, Simba, and brazil are my best teams!) Hiyo bedball mmmh! Siijui.
 
cycling... ila hiyo ya kwanza mmmhh......
 
We kaengesa environmental a.k.a kaeso Mbona sura yako inaonesha umemaliza kuucheza hapo kitandani? Kwa taarifa yako unachezwa horizontally
hapo kwenye Kaengesa Environmental (Kaeso) umepatia kabisa...Sijui huo mchezo wa kitandani unavyochezwa....
 
Back
Top Bottom