dazipozi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 1,137
- 106
Wewe ni kijana mwenye kazi nzuri sana.Unaishi na Mkeo ambapo mungu amewajaalia kupata mtt mmoja wa kike.Siku za hivi karibuni mlitembelewa na jamaa mmoja ambaye mkeo alimtambulisha kwako kama kaka yake yaani mtt wa shangazi yake aliyekuwa masomoni.Ukampokea vzr sana,mkabdilishana hadi namba ya simu siku mbili baada ya jamaa kuondoka ya huyo jamaa ukahisi kama mkeo anatoka nje ya ndoa lakini ukawa hujui ni nani.Siku ukaamua kuikagua simu yake na kuanza kusoma msg ambapo ulishanga kukuta msg zifatazo;
Inbox:Yaani mpenzi wewe ni mkali sana,unaju jana ulinipagawisha hadi sasa sina hamu kabisa,siyo siri unayaweza
Outbox:Kweli?Mh!Basi unabahati sana,hata mume wangu sijahi kumpa hivyo,na kesho tena,Mx
Inbox:Yaani mpenzi wewe ni mkali sana,unaju jana ulinipagawisha hadi sasa sina hamu kabisa,siyo siri unayaweza
Outbox:Kweli?Mh!Basi unabahati sana,hata mume wangu sijahi kumpa hivyo,na kesho tena,Mx