Hivi akuna anaeweza kuongoza vyama vya upinzani zaidi ya mchaga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi akuna anaeweza kuongoza vyama vya upinzani zaidi ya mchaga?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Pdidy, Jan 18, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,174
  Likes Received: 5,595
  Trophy Points: 280
  JAMANI JANA NILIKUWA NAFURAHIA SANA SHEMEJI ZANGU WALIVYOKUWA VICHWA KIVIPIA
  KUNA MC MMOJA ALIKUWA ANATANGAZA UWEPO WA WATU WALIOKUWEPO MSIBAN KWA DADAETU REGIA
  MPAKA INAFURHISHA

  ""NATANGAZA UWEPO WA MZEE W KIRARACHA NA MWENYEKITI WA TLP NA MWENYEKTI WA KAMATI YA ..NA MJUMBE WA KAMATI YA ....HUYO NI MMOJA UMJUI NANI UTAMJUA TU

  ""NATANGAZA UWEPO WA MWENYEKITI WA CHADEMA,MJUMBE WA HALMASHAURI YA ,MJUMBE WA KAMATI YA ....NA KIONGOZI WA UPINZANI """YANI HAPO ILIBIDI NIMPIGIE MAKOFI SHEMEJI YANGU KABLA YA KUTOA MACHOZI RISALA ALIOSOMA JAMANI HUYU ASIEMPA URAIS 2015 BASI ILE MVUA ILIOTOKEA MAJUZI IKANYESHE KWAO MILELEL

  ""NATANGAZA UWEPO WA MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI,HUYU BAHATI MBAYA KAMA SI MDEE ANGEKUWA NA YEYE KWENYE VIJIKAMATI HAPO JUU NA NIMJUAVYO NA USHWWAINI WAKE NA CCM WANGEMPA MOJA YA UENYEKITI WALAHI.......KASHEMEJI CHANGU HAKA KALINIFURAHISHA MAANA NI MPENZI WA PARA ALIKATA PARA KUAKIKISHA JINSI GAN MSIBA ULIVYOMGUSA ...SHEMEJI YANGU HUYU NILIFURAHI PALE

  MC ALIPOANZA KUTANGZA WABUNGE WANAOKWENDA MOROGORO AKAANZA NAOMBA GARI NAMBA MBILI LITAKUWA NA MH"DAVIIIIIIIIIIDIIIIIIIIII KAFULILAAAAAA """""""""wATU MAKOFI KAMA ATUKO MSIBANI ..NIKAFURAHI KASHEMEJI CHANGU KAKAGONGA 5 NA JAMAA MMOJA WA CHAMA TAWALA

  UKIACHA HAYO LABDA KWA CHADEMA NAONA HUYU BANA ANASTAHILI KUENDELEA KUONGOZA CHAMA HIVI VINGINE AYUKO MWINGINE ZAIDI YA WACHAGA JAMANI??
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,174
  Likes Received: 5,595
  Trophy Points: 280
  Cuf washukuru mungu imeasisiswa zenji else tungchukua chama leo hii tunapuliza a/c kama maalimsharrif shemeji zangu tukisambaratiishe kile tukamate uongozi bana
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wachaga sisi tuna asili ya kenya ni watu wa siasa sana ndo maana kuna wabunge wa 4 wa upinzani. Ni wajasiri wasomi, wako kila idara ktk taifa na nje ya nchi.
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  mi sio mchaga but hyo comment ulotoa ni guda point kwan wachaga wana bidii zaty hacha iwe hivyo but tatzo kwa makabila mengine kazi yao kuu ni kucheza ngoma na mdundiko zaty wakipewa nchi wanaiharbu kwa mfano ulio waz ni huyu handsome we2 mr. Kuchekacheka. BIGUP WACHAGA.
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  wapare wangekuwa na akili kama wachaga ccm wangekuwa wapinzani moshi.
   
 6. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  DUH! Kwa hivyo vigezo ulivyotowa basi naamini kwanini wale wa kale kisiwa (Pemba) walivyokushindeni kwa uwingi bungeni. Pengine hili la asili nalo limo hata kwa hawa jamaa lakini wao wanatoka mbali zaidi.
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  wewe acha kutoa post za virabuni, mwehuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 8. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  acha kuleta ukabila zungumza mambo ya msingi.au kama vp anzisheni chama cha kichaga kama hamjauwana kwa uroho wa pesa.
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani ilitakiwa iende kwenye jokes maana sioni la maana kuiweka hapa jukwaa la siasa!

  Pididy naona umejitahidi kuandika vizuri kuna watu walilamika eti hawakuelewi unaandikaje? Akilini ikanijia unaanzia kulia unakwenda kushoto nini ukiwa unaandika?
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  In short kwa yule alotoa post hii akili zake ni sawa na njiwamanga kwan lengo lake ni kuingza ukabila tz.
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  dats guda point
   
 12. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa bara wachaga wako juu kwa siasa, makabila yote yangekuwa hivyo 2ngekuwa mbali sana. Hao waarabu wa znz 2waache.
   
 13. R

  React Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mpare. Nakubaliana na wewe...!
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kusoma hii thread na kurudia rudia lakini nasikitika sijaelewa kilichoandikwa humu, na sasa nadhani ni wakati wangu muwafaka wa kutojishughulisha na kufunguwa thread za huyu mtu Pdidy, maana hata kama itatokea siku akaandika jambo la maana basi utapata shida sana kwenye kusoma post zake, bado sijajuwa huyu kiumbe huwa anapost thread huku anakimbia au lah! huyu ni sehemu ya comedians wa JF.
   
 15. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hivi hakuna sheria ya kumshati na kumdai fidia mtu anayesumbua akili kiasi hiki? Nasikia kizunguzungu ile mbaya. Sijui ni aina gani ya pombe aliyokunywa.
   
 16. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahahaha......
   
 17. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Na una bahati imewekwa kwenye jukwaa la jokes kuku weeeeee!!!
   
Loading...