Mlevi

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,433
18,146
Mlevi alipanda kwenye gari ake, akaona mipango haikai sawa akapiga simu polisi, maelezo yakawa hivi
Mlevi: Halloo! Hapo Polisi
Polisi: Yeah una tatizo gani?
Mlevi: Nataka kuripoti wizi, nimeibiwa staring, radio, dashboard, argh! Hadi gear siioni aiseh! Wameiba na gear!
Polisi: upo maeneo gani?
Mlevi:Ngoja kwanza! Argh! Kumbe nlikosea banah! Nliingia mlango wa nyuma!
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Top Bottom